ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Wote waliosajili IDs za ziada zilikuwa merged; nilishalitolea ufafanuzi hili. Ndo maana wengine waliona kura zinapukutika ghafla! Kila tunapobaini udanganyifu, unafanyiwa kazi haraka sana
kumbe ndio maana du nyie wakali sio mchezo..