Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
mkuu kwa sasa tungepata elfu 10,000 tunge weza kumlipia mshndi wa kwanza kifurush cha jf gold member (laki 1)halafu hizo zawad nyingine zikabakia kama zilivyo hapo juu.kama tutapata zaidi maana hata hizo zawad za muda wa maongez zitaongeze zaidi.tukifikia malengo haya nadhan itakuwa nifaraja kwa wanachitchat kuichangia jf kwa namna ya mashindano haya.

haya mkuu hiyo elfu kumi nimetoa mimi
 
Mkuu kama unatumia zantel poa... Lakini tiGO hupati ng'o make me sio mtumiaji wa tiGO!!! :becky:
acha kunibania bana!. mimi nakuomba lifti ya kwenda himo unanilazimisha nipande lifti ya kwenda tandahimba!. yaani kwa kauri hiyo ndo ushaninyima. basi ninunulie #azam cola! kama huwezi ntumia tigo pesa!. sasa wewe ntakufaidi nini?. ikishindikana mwezi wa pili naenda #kisesa kama vipi ntakupitia hapo #makoroboi !. mia
 
Bora ukija unipitie ila vocha tiGO sina make situmii tafadhali :lol: :lol: :lol:
 
Wote waliosajili IDs za ziada zilikuwa merged; nilishalitolea ufafanuzi hili. Ndo maana wengine waliona kura zinapukutika ghafla! Kila tunapobaini udanganyifu, unafanyiwa kazi haraka sana

bado itakuwa ngumu tu kubaini fake / multiples ids kama mtu anatumia devices tofauti tofauti. mngefanya tu kura zoote za waliojoin from 21st december na kuendelea ziondolewe!
 
Dah . . . ndo kusema na kwa Arabela walisajili multiple ids nyingi kiasi cha kupungua kura zote hizo??
Au ni macho yangu ya plastic???

Kuna mahali mmekosea.
 
Last edited by a moderator:
woow....dumbukiza number 0756144386

mkuu usijali kesho mapema utapokea nimefanya mawasiliano na katibu wangu hapo Arusha atatuma kwani niko mapumzikoni Nairobi mpaka tarehe mbili ila utapokea kwa hakika usiwe na shaka
 
Dah . . . ndo kusema na kwa Arabela walisajili multiple ids nyingi kiasi cha kupungua kura zote hizo??
Au ni macho yangu ya plastic???

Kuna mahali mmekosea.

juntos podemos
 
Last edited by a moderator:
haki ya nani izo kura nagekuwa nazo mtu mwingine tofauti na charminglady yani msingeona malalamiko yoyote hapa ila kisa mdada wa watu safari hii kajitwalia taji bila upinzani mnanuna, na nyie si mtafute hizo matipo aidii....kumbe mnajua mbinu zake kwa nini nyie msifanye kama yeye?
 
hahah kaka wala hawa wanakwetu wasikusumbue akili, kura zote hizo zimetafutwa kwa jasho,mimi nafahamu ni kwa kuwa kuna siku nimekesha kuhakikisha tunaweka margin kubwa.
Ushahidi wa wapiga kura halali ninao.

watu8
Charminglady's Campaing Manager
 
You mean kuuliza tu ndo tunachukia charminglady kuwa na kura nyingi??
Ulikuwepo tangu tunaanza kupiga kura???
Mbona wakati mkeo ana kura chache pia malalamiko yalikuwepo?
(Mkuu unapopost jaribu kuangalia effect ya maneno yako, mwenyewe akifikiria hivyo kweli basi manung'uniko yake yote na yawe juu yako.)

Sikujua hizo mbinu kama bado ziko applicable, nyie endeleeni tu.

N.B. charminglady utanisamehe kama hujafeel good, no malice intended.
 
Teh teh teh.... Me nawaangalia tu. Sina cha kusema!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
You mean kuuliza tu ndo tunachukia charminglady kuwa na kura nyingi??
Ulikuwepo tangu tunaanza kupiga kura???
Mbona wakati mkeo ana kura chache pia malalamiko yalikuwepo?
(Mkuu unapopost jaribu kuangalia effect ya maneno yako, mwenyewe akifikiria hivyo kweli basi manung'uniko yake yote na yawe juu yako.)

Sikujua hizo mbinu kama bado ziko applicable, nyie endeleeni tu.

N.B. charminglady utanisamehe kama hujafeel good, no malice intended.

ujue Kipipi mi nilikuwa kimyaaa tangu mwanzo wa mashindano, hata kampeni sijampigia ila yakaanza majungu, ooooh C6 na watu8 tunachakachua matokeo, sasa ivi limeibuka la multiple ids, mkuu Invisible kalizungumzia vizuri hilo jambo lakini bado tu, nimeandika iyo comment sikuwa namaanisha charminglady anatumia multiple ids, nilikuwa najibu waliosema wanajua eti kuna multiple ids, sasa kama wanajua uo mchezo kwanini wasiutumie,

i guess this is the last time najibu comment za malalamiko kuhusiana na kura kwa charminglady....
mie uwa sipendi majibizano sana maana niko short tempered sikawii kutumia lugha zisizo na maadili na nikajishushia hadhi, so Kipipi i hope tumesomana ila kama hujanipata funguka au kama una dukuduku sema mama, maana baada ya charminglady kulitwaa taji hamtaruhusiwa kutoa malalamiko kwa Ruhazwe JR tena
 
Last edited by a moderator:
hahah kaka wala hawa wanakwetu wasikusumbue akili, kura zote hizo zimetafutwa kwa jasho,mimi nafahamu ni kwa kuwa kuna siku nimekesha kuhakikisha tunaweka margin kubwa.
Ushahidi wa wapiga kura halali ninao.

watu8
Charminglady's Campaing Manager

watu yamewashuka baada ya mambo kugeuka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom