Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
ujue Kipipi mi nilikuwa kimyaaa tangu mwanzo wa mashindano, hata kampeni sijampigia ila yakaanza majungu, ooooh C6 na watu8 tunachakachua matokeo, sasa ivi limeibuka la multiple ids, mkuu Invisible kalizungumzia vizuri hilo jambo lakini bado tu, nimeandika iyo comment sikuwa namaanisha charminglady anatumia multiple ids, nilikuwa najibu waliosema wanajua eti kuna multiple ids, sasa kama wanajua uo mchezo kwanini wasiutumie,

i guess this is the last time najibu comment za malalamiko kuhusiana na kura kwa charminglady....
mie uwa sipendi majibizano sana maana niko short tempered sikawii kutumia lugha zisizo na maadili na nikajishushia hadhi, so Kipipi i hope tumesomana ila kama hujanipata funguka au kama una dukuduku sema mama, maana baada ya charminglady kulitwaa taji hamtaruhusiwa kutoa malalamiko kwa Ruhazwe JR tena

Do me a favour, ningependa unaponiongelea usimhusishe charminglady for swali langu halikumlenga yeye wala wingi wa kura zake (TAFADHALI TUSIWEKEANE NOTION MBAYA COZ HAWA WOTE NI WAPENDWA WETU ILA TUMECHAGUA TU PA KUSIDE ILI SHINDANO LIKAMILIKE NOTHING MORE).

Hata swali langu halikulenga kwenu wala sijui mmechakachua, bali nimeongelea kura zilizopungua ndo nikawa nashangaa huyo aliyechakachua na multiple ids kiasi cha kupunguza kura zote hizo. (Sijui wewe umehusikaje hapo). Suala la multiple ids limeibuka tangu awali na ndo maana nikaongelea kwa upande huo(note; kwa upande wa kura za Arabela na si charminglady kama hasira zako zilivyokutuma), so kama kuna majungu wewe na mwenzio mliambiwa mnachakachua hayo hayanihusu hata ungenikasirikia na kutumia lugha mbaya wala nisingejali.

Sina dukuduku kwa charminglady ila nasikitika kwamba wewe ndo unajaribu kunifanya nionekane nina dukuduku bora hata ungenisingizia kwa mtu mwingine. SOO SAD!
 
Last edited by a moderator:
watu yamewashuka baada ya mambo kugeuka

Sasa jamani,
Watu wenyewe hatujuani, kampeni zenyewe za online hizi, no interest ilimradi umechagua tu mtu flani . . . . leo yajekuwa haya???
Dah . . . nimechoka mwili na roho, sikutegemea tufikie hapa.

Anyways . . .yote sawa.
 
Que esta sea la copia a @C6.
Yo soy demasiado inocente para sus palabras!

no debemos discutir mis queridos Kipipi, es fin de año y no estoy de humor para discusiones con nadie, te quiero mi hermana Kipipi,

yo sólo te deseo hermoso día
adiós
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa msisahau kuja kwenye party ya kunipongeza mkimaliza hayo muongeayo!!!!!!

Ruhazwe JR vp kuhusu mdau aliyesema atatuma udhamini wake??? Kama imeshindikana gawanya huo udhamini wa Tshs. 71000 kwa washiriki tafadhali...........
 
Last edited by a moderator:
no debemos discutir mis queridos Kipipi, es fin de año y no estoy de humor para discusiones con nadie, te quiero mi hermana Kipipi,

yo sólo te deseo hermoso día
adiós

He recibido la idea de que se han puesto a mí. . . . Espero que ahora podemos estar satisfechos.
Estoy fuera de eso!

Todo lo mejor!
 
Sasa jamani,
Watu wenyewe hatujuani, kampeni zenyewe za online hizi, no interest ilimradi umechagua tu mtu flani . . . . leo yajekuwa haya???
Dah . . . nimechoka mwili na roho, sikutegemea tufikie hapa.

Anyways . . .yote sawa.
can we change the subject please?
 
Wapendwa msisahau kuja kwenye party ya kunipongeza mkimaliza hayo muongeayo!!!!!!

Ruhazwe JR vp kuhusu mdau aliyesema atatuma udhamini wake??? Kama imeshindikana gawanya huo udhamini wa Tshs. 71000 kwa washiriki tafadhali...........

kitalolo kaisha toa elf 10,sijafanya update kwakua nipo mbali na laptop natumia kamchina hakawezi ku-update,ila muda si mrefu ntafanya update
 
Last edited by a moderator:
You mean kuuliza tu ndo tunachukia charminglady kuwa na kura nyingi??
Ulikuwepo tangu tunaanza kupiga kura???
Mbona wakati mkeo ana kura chache pia malalamiko yalikuwepo?
(Mkuu unapopost jaribu kuangalia effect ya maneno yako, mwenyewe akifikiria hivyo kweli basi manung'uniko yake yote na yawe juu yako.)

Sikujua hizo mbinu kama bado ziko applicable, nyie endeleeni tu.

N.B. charminglady utanisamehe kama hujafeel good, no malice intended.

pole my sis this things do happens
 
Last edited by a moderator:
mkuu usijali kesho mapema utapokea nimefanya mawasiliano na katibu wangu hapo Arusha atatuma kwani niko mapumzikoni Nairobi mpaka tarehe mbili ila utapokea kwa hakika usiwe na shaka

mkuu nimeshapata tayar,tunashukuru,ila sijafanya marekebisho hapo juu kwakua nipo mbali na laptop natumi kisimu cha mchina nashindwa kufanya edit,ila muda si mrefu ntakua nshafanya edit hapo juu.ahsante sana
 
jamani naomba nizidi kuwasihi...mashindano haya yasilete uadui, C6 na Kipipi na hata charminglady tusifike hapa tulipo jaman,maana mm?mpaka nimeogopa,please,please ndugu zangu,chitchat hakuna mnyukano kama wa jukwaa la sias...tupendane jaman
 
Last edited by a moderator:
jamani naomba nizidi kuwasihi...mashindano haya yasilete uadui, C6 na Kipipi na hata charminglady tusifike hapa tulipo jaman,maana mm?mpaka nimeogopa,please,please ndugu zangu,chitchat hakuna mnyukano kama wa jukwaa la sias...tupendane jaman

da kipipi was just asking about kura zangu kupungua lakini ikaja picha tofauti. Haya ni mashindano kila mmoja anataka kushinda lakini haimaanishi tuna uadui kila mtu ana uhuru wa kuchagua mshiriki amtakae lakini kitendo cha kuambiwa yametushuka hatujapenda. Me si msemaji kivile ila hili imenibidi niongee kwa kweli Ruhazwe Jnr
 
Mr. Lundenga nadhani wameshindwa kuelewana n wameshindwa kuichukulia kichitchat zaidi hakuna haja ya kukasirika wala kuudhiana hapa hebu nyinyi kipipi na c6 hebu acheni basi hayo mambo jamani sisi sote ni ndugu ndugu wa baba mmoja hebu msifupishe siku zenu
Bureeeeee.
 
Last edited by a moderator:
da kipipi was just asking about kura zangu kupungua lakini ikaja picha tofauti. Haya ni mashindano kila mmoja anataka kushinda lakini haimaanishi tuna uadui kila mtu ana uhuru wa kuchagua mshiriki amtakae lakini kitendo cha kuambiwa tumeshuka uso hatujapenda. Me si msemaji kivile ila hili imenibidi niongee kwa kweli Ruhazwe Jnr

acha wachonge hujuma zao tumeshazijua maana wanajifanya watalaamu wa IT
 
da kipipi was just asking about kura zangu kupungua lakini ikaja picha tofauti. Haya ni mashindano kila mmoja anataka kushinda lakini haimaanishi tuna uadui kila mtu ana uhuru wa kuchagua mshiriki amtakae lakini kitendo cha kuambiwa yametushuka hatujapenda. Me si msemaji kivile ila hili imenibidi niongee kwa kweli Ruhazwe Jnr

bas mama!... naomba u relax maana naona hata tabasamu lako limepote,emu cheka kidogo bas tuone wako mwanya....
 
Arabela na Kipipi mnisamehe kwa kuwakwaza, in one way or another, mwenzenu sichukulii siriasi sana hii mambo, afu nikiendelea kujibizana mkuu atani.mind, basi tuyamalize kistaarabu, mnisamehe sana haikuwa intention yangu kuwakwaza, ndo maana sikutaja mtu yoyote nilisema in general wala siku expect haya yatatokea....
basi msiyafanye makubwa ndugu zanguni, mwaka uishe kwa amani.

naomba radhi kwenu na wengine wote ambao hawajasema kitu ila wamekwazika,
beibe nasty duuuh it still raining kama vipi njoo chemba mara moja tuzoze Ruhazwe JR kausha mkuu yaisheeee
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom