Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
hata tulioshiriki jamani, tupatamo na kafedha kidogo, tutoe. miehela yote hiyo ya udhamini.
 
hata tulioshiriki jamani, tupatamo na kafedha kidogo, tutoe. miehela yote hiyo ya udhamini.

tunafikilia kuwapa kifuta jasho kwa wale watako kuwa wa mwisho...lakin hawajajulina kwakua bado mapema
 
utaratibu wa kuwa mdhamini ukoje? au hampokei tena wadhamini

hatuna limiti ya udhamin,karibu utudhamini,unarusha udhamin wako kwenye number 0756144386 then unanipim kunijulisha,faster nawajulisha wadau na kukuweka ktk orodha ya wadhamin kama uonavyo hapo juu
 
hii poll ina faida yake na hasara yake!

hasara yake - fake id zinazopiga kura hazionekani, zinajipigia kura tena na tena!

faida yake? - sijui
Invisible na Ruhazwe JR kama mnaweza identify kura za fake id zilizojiunga 21st december na kuendelea then kuondoa kura zao fanyeni hivyo ili mshindi apatikane kihalalli.
 
Last edited by a moderator:
mkuu mathematics kwa kweli haya mambo yanayo ibuka hayaniusu wala si kazi yangu.nasimamia kwenye ile ya one member one vote,mambo mengine haya tuyachukue kama changamoto ili msim ujao tuweke mifumo ambao utawaridhisha wote.
 
Last edited by a moderator:
Next time mkuu... Ila usisahau kura yako kuiacha kwa charminglady!!!

Mmm jaman mimi tena? nshakupa kwa kishindo tangu lini cjui pale watu8 ndio mwenyeji wangu kwaiyo aliomba nkupe nami nawashawishi wadau wawili kizaizai na stevelwa wakupe, hope utashinda kwa kishindo!
 
Mmm jaman mimi tena? nshakupa kwa kishindo tangu lini cjui pale watu8 ndio mwenyeji wangu kwaiyo aliomba nkupe nami nawashawishi wadau wawili kizaizai na stevelwa wakupe, hope utashinda kwa kishindo!

shukrani sana mkuu, ni kwa support yenu wadau tumeweza kufika hapo tulipo sasa na kuongoza kwa utofauti mkubwa!
mbarikiwe sana!

watu8
Charminglady's Campaign Manager
 
hii poll ina faida yake na hasara yake!

hasara yake - fake id zinazopiga kura hazionekani, zinajipigia kura tena na tena!

faida yake? - sijui
Invisible na Ruhazwe JR kama mnaweza identify kura za fake id zilizojiunga 21st december na kuendelea then kuondoa kura zao fanyeni hivyo ili mshindi apatikane kihalalli.

Yeah... Moderator na Invisible tunaomba mtusaidie kwa hili ili kuepusha malalamiko kama inawezekana....
 
Last edited by a moderator:
Mmm jaman mimi tena? nshakupa kwa kishindo tangu lini cjui pale watu8 ndio mwenyeji wangu kwaiyo aliomba nkupe nami nawashawishi wadau wawili kizaizai na stevelwa wakupe, hope utashinda kwa kishindo!

Shukrani sana mkuu... Karibu tena CHITCHAT a.k.a STRESS FREE ZONE!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom