Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Waache tu wanajichosha hao, hawajui kuwa kila post yangu ina copy right, si ajabu ndo maana kura zao zinapungua kumbe ni Plagiarism inawaponza. Cheki walivyopangana hapo juu kama waliambiana, can't you guys invent your own ways of campaigning? No wonder tunawatimulia vumbi,aliyeanza kaanza

teenaaaaaaa
 
Mbona mna copy kwa Baba V then mnapaste kwenu na kuedit juu

Hiyo huitwa minyukano ya kusaka ushindi dear...lakini ushindi ukishapatikana kwa mmoja, tofauti zinazikwa kando tunaserebuka kwa pamoja....mzima lakini weye?
 
Waache tu wanajichosha hao, hawajui kuwa kila post yangu ina copy right, si ajabu ndo maana kura zao zinapungua kumbe ni Plagiarism inawaponza. Cheki walivyopangana hapo juu kama waliambiana, can't you guys invent your own ways of campaigning? No wonder tunawatimulia vumbi,aliyeanza kaanza

Hahahah...siasa ni mchezo mchafu!
 
Remmy na Ciello mashosti nyie endeleeni tu kuwa pigia debe Madame b na Arabela maana hali yenu hata ya dovutwa inanafuu..
 
Last edited by a moderator:
Wana chit chat sasa nakuja na kampeni ya nyumba kwa nyumba,chumba kwa chumba,na kitanda kwa kitanda, nawaomba wadau mnisamehe kwa usumbufu nitakaowasababishia,ni katika harakati za kuhakikisha Arabela anatwaa taji la umiss la mwaka,nawaombeni ushirikiano wenu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom