Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
Usijali mpenzi wangu, Erickb52 hatatoa sauti tena.
Bby mi niko natafakari ulivyozungukwa...!
Usijali mpenzi wangu, Erickb52 hatatoa sauti tena.
Vipi mkuu, nataka nitembeze rushwa, naona hali ni mbaya.
ha,ha,ha.....kama vipi ihonge poll system........shwari lakini
me sijambo homa tu ya matokeo bhas... Thanks me love you more
Relax muda wa kupiga kura bado upo sana tu.
Hivi Arabela haunioni au..........
Zinapungua?!.... Cl upo serious?.Yani zinapunguaje?Zilikua 9 alafu zinakua 7 au kivip?...Ujue mi nipo karibu na matokeo toka mwanzo,naona mnavyochuana na kutimuliana vumbi labda nieleweshe zinapungua kivip?
Kura kwa Madame B,,sasa nimerudi rasmi katika kampeni,tuanze kazi
Zinapungua?!.... Cl upo serious?.Yani zinapunguaje?Zilikua 9 alafu zinakua 7 au kivip?...Ujue mi nipo karibu na matokeo toka mwanzo,naona mnavyochuana na kutimuliana vumbi labda nieleweshe zinapungua kivip?
Jana zilikuwa 21 by the time napost hiyo comment.... ila sasa zimerudi 21 nini chaendelea????