Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
We Ruhazwe JR si unaona kura za watu zinavyopungua...???
Jibu hili swali sasa usikae kimya umaharibu maana ya shindano zima...
Haiwezekani kura zikawa zinaendelea kupiga rivasi...angalie scripts za hicho ki-polling system bhanaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Wakati naweka ushahidi wa picha charminglady alikua na kura 21, sasa anazo 20. Hahahah....inabidi nicheke tu...mkuu Invisible tafadhali busara zako zinahitajika....
 
Last edited by a moderator:
Wakati naweka ushahidi wa picha charminglady alikua na kura 21, sasa anazo 20. Hahahah....inabidi nicheke tu...mkuu Invisible tafadhali busara zako zinahitajika....

sure bro, something must be wrong somewhere and something must be done
 
Last edited by a moderator:
sure bro, something must be wrong somewhere and something must be done

Bora umenielewa mkuu, hivyo kuna uwezekano kukawa na ubatili kwenye kura zilizopigwa...
 
sure bro, something must be wrong somewhere and something must be done

Baba V kwangu mimi sioni tatizo,kwani kadri kura zao zinavyopungua ndio kwa Arabela zinavyoongezeka.Hapo ninaona kuna watu wamegundua kuwa walipiga kura kimakosa kisha wakatoa kule walikopiga mwanzo na kumpigia Arabela.Au labda kama ukishapiga kura moja inakuwa hakuna uwezekano wa kubadilisha...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaah i know whats going on here,hahahahahaahahhaha
hahahahaahahah

We Ruhazwe JR si unaona kura za watu zinavyopungua...???
Jibu hili swali sasa usikae kimya umaharibu maana ya shindano zima...
Haiwezekani kura zikawa zinaendelea kupiga rivasi...angalie scripts za hicho ki-polling system bhanaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mna copy kwa Baba V then mnapaste kwenu na kuedit juu
 
Mbona mna copy kwa Baba V then mnapaste kwenu na kuedit juu

Waache tu wanajichosha hao, hawajui kuwa kila post yangu ina copy right, si ajabu ndo maana kura zao zinapungua kumbe ni Plagiarism inawaponza. Cheki walivyopangana hapo juu kama waliambiana, can't you guys invent your own ways of campaigning? No wonder tunawatimulia vumbi,aliyeanza kaanza
 
Wasalam,

Ni mara nyingine tena kama ilivyokuwa inasubiliwa sasa ndio imetimia.

kwanza niwaombe radhi kwa kutokufanya mashindano ya mwezi Dec 2012, hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu licha ya jitihada nilizozifanya za kuwatafuta ambao wangeweza kuendesha mashindano lakini kwa bahati mbaya haikuwezekana. Niombe radhi sana na samahani kama kuna mtu alikwazika anisamehe bure.

Bila kuwachosha,tunamtafuta MISS CHIT CHAT 2013 amabaye ata peperusha bendera kwa mwaka wote.washiriki ni kama ifuatavyo:

1. cacico - miss aug 2012
2. Remmy - miss Sept 2012
3. Madame B - miss oct 2012
4. Ciello - miss nov 2012
5. charminglady - Nafasi ya upendeleo
6. Arabela- Nafasi ya upendeleo

ZAWADI
Zawadi zitakuwa kama ifuatavyo:
a/ Mshindi wa kwanza atajipatia Muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wenye thamani ya TSH 10,000/= pamoja na kulipiwa JF Bronze(mchango wa jf wa thamani ya THS 20,000)
b/mshindi wa pili atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wa thamani ya Tsh 7,000/=
c/ mshindi wa tatu atajishindia muda wa maongezi wa mtandao atakao kuwa anatumia wa Tsh 5,000/=
d/ mshindi wa nne atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao anaotumia wa thamani ya Tsh 3,000/=
Masharti
- Washiriki wanaruhusiwa kujipigia kura na kufanya kampeni za kuomba kura
- One member one vote
- Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 dec saa 6 usiku kamili.
- Zawadi zitatolewa siku ya tarehe moja asubuh.

Wadhamini
- Ruhazwe JR
- Jiwe Linaloishi (kwaajili ya zawadi ya mshindi wa nne)
- Akijitokeza mdhamini mwingine basi zawadi itaongezeka!

Nawasilisha

UPDATE
Tumepata mdhamini mwingine anayejulikana Jiwe Linaloishi yeye anadhamini muda wa maongezi wenye thamani ya Tsh 3000 kwa mshindi atakaye shika nafasi ya nne.
Tunaomba wadhamini wengine wazidi kujitokeza ili washiriki wetu wapate zawadi iliyo nona

Mim nawahakikishia ulinzi wa kutoibiwa wake zenu...wale wote watakao mpigia my sweet ARABELA....
 
Last edited by a moderator:
Baba V kwangu mimi sioni tatizo,kwani kadri kura zao zinavyopungua ndio kwa Arabela zinavyoongezeka.Hapo ninaona kuna watu wamegundua kuwa walipiga kura kimakosa kisha wakatoa kule walikopiga mwanzo na kumpigia Arabela.Au labda kama ukishapiga kura moja inakuwa hakuna uwezekano wa kubadilisha...

Ofa ya ulinzi waambie..wale wote watakao pga kura kwa Miss chit chat mtarajiwa..Arabela...
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom