Jana zilikua 21 na sasa ni 21,inamaana hujapigiwa kura.Sema hukuangalia vizuri,nilichogundu ukiwa kwenye jf mobile zinaonekana kwa mawenge,mim mwenyewe kuna muda niliangalia nikaona kam vile et Remmy kafikisha 44 na Ciello kafikisha 22 nikastuka.Naamin hakuna ubadhilifu wowo,naiamin poll systerm kuliko chochote humu ndan.Shaka ondoa saka kura bila kuchoka.Nakutakia kila kheri ktk kuwania taji
Kura zinapungua mkuu...by this morning charminglady alikua na kura 24 sasa ni 21.
Madame B alishafika 30, sasa ni 25....nahisi kuna mchezo unaendelea na nilishatoa angalizo hapo juu lakini hukutoa ufafanuzi...
Nini kinachoendelea????
Sijui nimpigie nani jamani hawa wagombea wote ndugu zangu...
Ur right sijajua whats wrong jana niliacha mchana Madame B akiwa na kura 26,jioni kuchungulia ana 30, leo ana 25 duuuuh
Sijui nimpigie nani jamani hawa wagombea wote ndugu zangu...
Ruhazwe JR, your excuses don't hold water anyhow...something must be wrong with the poll counter in your system...if you can't rectify the problem in time, the whole thing will be invalid na hakuna haki!!
Arabela
Kura zinapungua mkuu...by this morning charminglady alikua na kura 24 sasa ni 21.
Madame B alishafika 30, sasa ni 25....nahisi kuna mchezo unaendelea na nilishatoa angalizo hapo juu lakini hukutoa ufafanuzi...
Nini kinachoendelea????
Takwimu hii si ya kweli,katu si Madame B wala charminglady hakuna aliyefikisha kura hizo.No,no!,no! Nakataa kabisa kwa nguvu zote
Kuna mahali umesema Madame B alifikisha 30 utakuwa uliangalia vibaya kaka
Bby mi niko natafakari ulivyozungukwa...!
Takwimu hii si ya kweli,katu si Madame B wala charminglady hakuna aliyefikisha kura hizo.No,no!,no! Nakataa kabisa kwa nguvu zote