Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
poa kdg, nshakong'oli fanya makampeni ya nguvu mi humu naingia kwa kubip bado majeruhi wa maleria, bado kidogo inipite
 
Huyo hafai.....

Unahitaji maelezo zaidi?

Babu DC nikiomba maelezo zaidi utaharibu na sheria za uchaguzi haziruhusu kashfa kwa wagombea. Naona Madame B anachekelea ulivyomtia doa cacico maana kakugongea bonge la like.
 
Last edited by a moderator:
Babu DC nikiomba maelezo zaidi utaharibu na sheria za uchaguzi haziruhusu kashfa kwa wagombea. Naona Madame B anachekelea ulivyomtia doa cacico maana kakugongea bonge la like.

mamito kura yako kwa CL please...
 
Last edited by a moderator:
Wapambe mko wengi na wote mabest sasa inabidi nisimfuatishe mpambe yoyote nichague bila kufuatisha kampeni

Kura yako ni muhimu sana kwangu mwaJ tafadhali mamie!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wapambe mko wengi na wote mabest sasa inabidi nisimfuatishe mpambe yoyote nichague bila kufuatisha kampeni

siye Waarab wa Pemba mamito...fanya kama wengine hujawahi kuwaona halafu chagua CL
 
wapi Madame B aje ajibu tuhuma hapa, ana tuhuma ambazo nahitaji mwongozo wa Ruhazwe JR kama anafaa kuendele na kinyang'anyiro hiki au la!??, Madame B come this way pleaseee
 
Last edited by a moderator:
Nawaita
PakaJimmy, Mungi,
zomba, Filipo
nitonye Mamzalendo,
marejesho Erickb52,
Arushaone,
Mamndenyi, Bishanga,
Dena Amsi, Mr Rocky ,
FP Lily Flower,
mwaJ snow white
sweetlady, watu8,
measkron, HYGEIA
Husninyo, AshaDii,
The Boss, Mphamvu,
Paloma,
zubedayo_mchuzi,
Ruttashobolwa,
gfsonwin, King'asti,
Kongosho, Kaunga,
Smile, platozoom,
ndetichia, BADILI
TABIA
, BAK
Asprin Mtambuzi
Rejao, Dena Amsi,
Nicas Mtei, Dark
City
, Mzee wa Rula,
Kijino, nivea,
giLESi, mary hunbig,
stevoh na wengineo mje hapa mumpigie kura
Arabela awe miss chit chat wa mwaka 2012, ni
binti mrembo,mtaratibu,mwenye nidhamu na anawapenda wana chit chat wote
kura ni kwa Arabela aaaaa

Baba V, hebu nipe maelekezo namna ya kumpigia charminglady, nashindwa kupata option ya kupost my vote!
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu nimegoma kupiga kura mpaka nipewe bahasha ya khaki yenye zile karatasi zenye thamani.
 
Baba V, hebu nipe maelekezo namna ya kumpigia charminglady, nashindwa kupata option ya kupost my vote!

Mkuu unapofungua chitchat forum... Mwanzoni kabisa kuna "STICKY" na ukishafungua utaona majina ya washiriki then utachagua jina langu afu utapress "vote now" mpaka hapo utakuwa umenipigia kura....

NB. Unatakiwa kutumia desktop version ili uweze kupiga kura iwapo unatumia simu...
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu nimegoma kupiga kura mpaka nipewe bahasha ya khaki yenye zile karatasi zenye thamani.

Kura yako ni muhimu kufanikisha hayo utakayo kutendewa....hivyo mkuu piga kura kwanza mengineyo baadae wakati taji likiwa kichwani kwa mrembo charminglady binti watu8
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom