Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
sema basi kikubwa
Kipipi iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Hapa PM itahusika zaidi nadhani kama utaniruhusu...
Rabeka!
B52 hana maana, wala simuogopi. nakuja pm mwaya.
We usipofanyiwa maombi mwaka huu lazima wakuokotee msitu wa pande!
Nakusoma sana, subiri upelekwe muhimbili kunasua binti
mume wa mtu sumu.
Kama umeliona hilo nimekukubali, maisha yake yamo hatarini huyu dogo, labda ndo nzi kufia kwenye kidonda!??
Hayo ndo maneno,mwache arukeruke huyo
Umepungukiwa nini mpaka uwe na wasiwasi kiasi hicho?
Punguza munkali bidada, mi wala sipo huko unakodhani!
Umeogopa ee
Sina cha kuogopa coz najua usingeweza kunifanya lolote hasa ukizingatia we mwenyewe ni mwizi pia . . .LOL!
hahahaaaaaaa
mie niliachiwa.
kumbe biti linafaa.
Uliachiwa au umekubali kupimiwa?
Subiri mwenyewe siku akija!
BTW, wala hamna biti hapo . . . .sema tu umenikuta mtu mwenyewe wala sina uhitaji.