Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Nimefurahi upigaji kura huu wa sasa hivi hauna lawama
maana wote mashostiito na kura moja ila nimeshakuvotia best wa ukwee
 
Inawezekana kabisa campaign manager wako akampigia kura mwingine.
Kumbukeni ile ya mrema hata kura ya mke wake hakupata looo
cc:washiriki wote looo
 
Inawezekana kabisa campaign manager wako akampigia kura mwingine.
Kumbukeni ile ya mrema hata kura ya mke wake hakupata looo
cc:washiriki wote looo

Usifanye mchezo na mambo ya uchaguzi,lolote laweza kutokea,Raza wa Zanzibar aliwahi kugombea akapata kura sifuri yaani hata yake mwenyewe hakuipata....
 
Inawezekana kabisa campaign manager wako akampigia kura mwingine.
Kumbukeni ile ya mrema hata kura ya mke wake hakupata looo
cc:washiriki wote looo

amu pigia Arabela
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kutoka uwanja wa Taifa ambako tumewalaza Zambia(Chipolopolo),sasa nimerejea hapa....
Wangapi bado hamjampa kura zenu charminglady? Kama bado fanya hivyo sasa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom