SIMBA45
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 573
- 165
Lowasa mwenyewe akisimama anaanguka kama kuku la kideli halafu ashinde uchaguzi gani kiazi kweli wewe hatuongozwi na fisadi.
sasa mkuu mnapotuambia sisi wananchi lowasa Ni fisadi kwani sisi ndio mahakama au polisi. Kama mnaushahidi pelekeni mahakamani kwani mahakama ndio chombo pekee kinachotoa haki na kumtia hatiani mafisadi. Au siku hizi ccm imekuwa eneo la mahakama kwa kuwahukumu watu ndio mafisadi. Watanzania tupo tayar kuongozwa na rais fisadi hyo ndie tunaemtaka.