25-08?
25-10?
uchaguzi upi unauongelea ...au gaboni?
- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!
Le Mutuz