Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,856
Mapungufu ya magufuli ni maamuzi ya haraka nadhani washauri wake watamueka sawa
Nashukuru kwa jibu lako la kistaarabu.Nilidhani kuna atakayepokea kwa kukurupuka kama mzee wa maquantity aka less quantity kwenye ujenzi.Tunamuombea awe mwepesi kupokea ushauri asiwe kichwa jiwe tu.