Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Ukawa oyeeee. Ccm ipo icu bye bye
sasa mkuu mnapotuambia sisi wananchi lowasa Ni fisadi kwani sisi ndio mahakama au polisi. Kama mnaushahidi pelekeni mahakamani kwani mahakama ndio chombo pekee kinachotoa haki na kumtia hatiani mafisadi. Au siku hizi ccm imekuwa eneo la mahakama kwa kuwahukumu watu ndio mafisadi. Watanzania tupo tayar kuongozwa na rais fisadi hyo ndie tunaemtaka.
- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!
Le Mutuz
Tr 25.08 utaloa
Lowasa mwenyewe akisimama anaanguka kama kuku la kideli halafu ashinde uchaguzi gani kiazi kweli wewe hatuongozwi na fisadi.
Nimeambiwa jambo toka kwenye chanzo cha ndani hakika kama ndio hayo ccm inakwenda kufa.
Inasemekana kila halmashaur wameambiwa siku magufuli akipita waende kumshangilia na local itapita pia na tishart wamesha andaliwa tayari.
Mafisadi mahakama ya mafisadi yaja makafungwe haraka.
Nasikiaga ukoo wa Chigwe huwa mnamwota sana huyu jamaa, hivi aliwafanyia kitu gani?- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!
Le Mutuz
Ni fimbo za mgongo kwa kwenda mbele. Tz Twende na magufuli
Kama Fisadii mngeenda mahakamaniiii
Ewe mjinga usiye hata na akili ya kunywa maji. Kati ya Magufuli na Lowassa nani kaishiwa pozi? Hilo li fisadi hata mdomo lazima asaidiwe kufungua na koleo. Bavicha! PtuMuonekano wake na kauli zake zinawavunja moyo Magamba wenzake, kiukweli Pombe kisiasa bado sana na huu ulikuwa siyo muda wake, amekabithiwa Mzigo mzito sana ambao hawezi kabisa kuubeba nahsi atautua njiani, kiukweli lowasa siyo size yake kabsa, size ya mr Pombe ni Dk Mihogo,na ndiyo mana kwasasa mr Pombe ndani ya Moyo wake amekubali kushndwa tayar, Namuomba rais Mtarajiwa wa JMT Mh E.Lowasa apange baraza la Mawazr kabs ili twende na Muda kwan Mr Pombe anatupotezea Muda tu coz amesha kubali kushndwa tayar!!
Hahahaaaaa aiseee nimecheka sana.