- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!
Nadhani wenyewe sasa mmejionea gharama za ule upuuzi wa wabunge wa ccm unavyowagharimu. Mngekuwa mmetekeleza matakwa ya wananchi leo msingetumia nguvu kubwa kupambana na fisadi Lowassa. Matokeo yake huyo EL leo ndio sisi wananchi tumeamua kumpa kura kwa kuwa tumeamua liwalo na liwe
Mnahonga mpaka vijana waandamane lakini wapi, mmemtumia mpaka Slaa lakini mioyo ya wananchi bado migumu kwani sasa wameshatambua tatizo la nchi hii ni ccm. Huyo EL ni kwamba kalamba bingo kwani kaingia kwenye upande wa kilio cha umma. Jazeni makada na pigeni propaganda za kizee kwenye media, lakini safari hii kitakachowaokoa ni goli la mkono tu!!!