Namuona Magufuli ameshakubali kushindwa

Namuona Magufuli ameshakubali kushindwa

El labda awe rais wa muhimbili sio magogoni.magogoni haingii mla ugoro atatema mate ovyo
 
Chopa 4 zipo tayari kufanya kazi hiyo!EL siyo fisadi kama John Malecela nianze kukutajia viwanja anavyovimiliki bila hata ya kuviendeleza?

Serekali kuanzia ya kina dingi yake Lemutuz wametufisadi yakutosha sasa ni mwisho hatudanganyiki tena
 
El labda awe rais wa muhimbili sio magogoni.magogoni haingii mla ugoro atatema mate ovyo

Issue za kujadili magonjwa ya watu hazina manufaa hapa ukute hata wewe hapo mgonjwa tu! Wote ni watumishi wa umma wameshakaa Ikulu, kwenda na kufanya kazi na Rais aliyepo madarakani sasa kuna kuingia magogoni zaidi ya huko?tuache issue za afya hapa tujadili ahadi zao tuzijengee hoja!
 
- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!

Le Mutuz

Nani anaweza kufanya hivyo duniani ukitilia maanami hali ya barabara zetu. Hata kwa helicopter na bado haiwezekani. Ni zaidi ya kata 60 kwa siku!!!
 
kama mtu aliambiwa kachukue form utamjua tuu kwa sababu hakuwahi kufikiria suala la urais,na mwaka huu atakuwa wa kwanza kuiangusha mcc. kule songea kwenye mkutano wa mcc wa kumnadi mgombea urais kuna mpambe ambaye anaaminika ni team lowasa lakini ameamua kubaki kimkakati alipima upepo akauliza ule umati kwamba NANI RAIS WA 2015? UMATI UKALIPUKA LOWAAAASAAAAAA! wote wanakampeni wakainamisha vichwa chini?

kwa hiyo inaonekana watanzania wanaenda kuangalia show za bongo fravour kwa sababu ya ugumu wa maisha kutoweza kwenda kumbi za starehe kuwaona LAKINI walishaamua kura kwa LOWASA

nimeipenda hii...maana hiyo video kwakweli imewadhalilisha
 
Magufuli anajua kuopareti exavertor,unauliza nn sasa,ukawa wambie waongeze wabunge bc !!!!!!!!!!!
 
ukapimwe akili wewe

Muonekano wake na kauli zake zinawavunja moyo Magamba wenzake, kiukweli Pombe kisiasa bado sana na huu ulikuwa siyo muda wake, amekabithiwa Mzigo mzito sana ambao hawezi kabisa kuubeba nahsi atautua njiani, kiukweli lowasa siyo size yake kabsa, size ya mr Pombe ni Dk Mihogo,na ndiyo mana kwasasa mr Pombe ndani ya Moyo wake amekubali kushndwa tayar, Namuomba rais Mtarajiwa wa JMT Mh E.Lowasa apange baraza la Mawazr kabs ili twende na Muda kwan Mr Pombe anatupotezea Muda tu coz amesha kubali kushndwa tayar!!
 
Mshaka yangu juu ya Lowasa ni kwamba, kwanini alikosa ujasiri wakukataa kusain mkataba wa richmond? kwa maana hiyo atakosa ujasiri wa kutetea maslah ya Taifa.

Pia. Vyanzo vyake vya mapato havipo wazi hii inamaana ni mkwepa kodi. Sifa ya kua rais bora ni kwamba usiwe mkwepa kodi, Kwa kigezo hicho Lowasa anapoteza sifa ya kua rais bora.

Pia Lowasa halihurumii taifa letu, Kwa sababu kama alilazimishwa kusain mkataba wa richmond basi angegoma na kujiuzuru kaba hakijasanuka. Sasa yeye alisain wakati anajua taifa linapata hasara, hii nayo inamkosesha sifs za kuwa rais bora.

Upande wa ccm hofu kubwa ipo ktk mfumo wao. Je Magufuli ataonesha ule ukaliwake kama akiwa raisi? mimi binafsi sijui.

Tukiwapambanisha Magufuli na Lowasa kila mtu ana mapungufu yake lakin tujaribu kuangalia nani anaridhisha zaidi? Ili upatejibu sahihi unatkiwa uvue shabiki wa vyama, Pili chambua kashfa za wagombea wote, tatu angalia hatari na faida ya kupewa urahisi kwa kila mgombea. Jibu litakalotoka katika moyo wako nadhani ndo jibu sahihi

Ukielrwa adhma ya kuvunja mfumo ulioko sasa utjijibu maswali yako
 
- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!

Le Mutuz

Fisadi papa bado yuko madarakani baada ya tarehe 25 kwa heshima na taadhima tunamuomba akabidhi nchi kwa Lowassa kwa amani.
 
Ila ki ukweli tukiweka unazi pembeni Lowassa lazima ashinde. Vijana 90% wapo upande wake.
 
Wewe unadhani jana alivyokwenda kuomba msaada kwa maCCM wenzie kwanini? Hali ni mbaya jamani ulizeni wanaotembea na Magufuli watawaambia jinsi gani wananchi wanamkubali Lowassa na UKAWA.

mapokezi ya ccm ni kwa vidole viwili juu ishara ya chadema wakiulizwa raisi wenu nani wanajibu lowasa hiyo imetokea songea nchimbi alivyowauliza sauti kubwa ikajibu ivyo mbele ya magufuli wakati mkutano unarushwa live na star tv kwa sasa hawaulizi tena
 
Ukielrwa adhma ya kuvunja mfumo ulioko sasa utjijibu maswali yako



Tatzo wanaounda mfumo mbovu wa sasa ndo wamepewa nafasi za juu ktk chama tulicho kiamini. Inaweza ikasaidia au ikaharibu zaidi
 
magufuli leo amekuwa utadhani ni mgombea wa upinzani yani amekuwa kwenye hotuba zake yani neno ichague ccm limekuwa chungu mdomoni kwake amekuwa analalamika tu juu ya huduma mbovu za jamii na ukosefu wa uwajibikaj wa watendaj wa serikali yani amesahau kuwa yy amekuwa serikaln kwa miaka 20 tena akiwa ni wazr kama mlalamikaji na anataka kura za huruma juu yake

amekuwa kama mgombea binafsi ndo mana kila kilichopo na kilichofanywa na watangulizu wake yeye anashangaa na kuahidi vyake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom