Ngonidema
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,775
- 2,750
Muonekano wake na kauli zake zinawavunja moyo Magamba wenzake, kiukweli Pombe kisiasa bado sana na huu ulikuwa siyo muda wake, amekabithiwa Mzigo mzito sana ambao hawezi kabisa kuubeba nahsi atautua njiani, kiukweli lowasa siyo size yake kabsa, size ya mr Pombe ni Dk Mihogo,na ndiyo mana kwasasa mr Pombe ndani ya Moyo wake amekubali kushndwa tayar, Namuomba rais Mtarajiwa wa JMT Mh E.Lowasa apange baraza la Mawazr kabs ili twende na Muda kwan Mr Pombe anatupotezea Muda tu coz amesha kubali kushndwa tayar!!