Namuona Magufuli ameshakubali kushindwa

Namuona Magufuli ameshakubali kushindwa

- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!

Le Mutuz

Lowassa hata akiamua kusitisha kampeni kuanzia leo haitoathiri chochote kwani anajulikana nchi nzima tofauti na huyo Arincherema wenu.
Lowassa ni mwanasiasa mkongwe, huwezi kumfananisha na Magufuli anayejulikana mjini tu na vijiji vichache sana, tena vingi ni huko kwao chato.
Acha kujidanganya, subiri balaa la Lowassa ifikapo October 25.
 
- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!

Le Mutuz

Le mutuz mambo vepe?

Ivi kwa nini wewe uko ivo ulivo?
 
magufuli leo amekuwa utadhani ni mgombea wa upinzani yani amekuwa kwenye hotuba zake yani neno ichague ccm limekuwa chungu mdomoni kwake amekuwa analalamika tu juu ya huduma mbovu za jamii na ukosefu wa uwajibikaj wa watendaj wa serikali yani amesahau kuwa yy amekuwa serikaln kwa miaka 20 tena akiwa ni wazr kama mlalamikaji na anataka kura za huruma juu yake
 
- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!

Le Mutuz

Al Sahaf
 
Bora fisadi Mmoja Anaeungwa Mkono na wema wengi, Kuliko Mwiz aliyeuza nyumba zetu anaetetewa na Majizi wenzake wa escrw, Epa, Twiga, Meno ya tembo,na kuchakachua Rasim yet ya katiba
 
Lowassa labda atashinda kwenye mashindano ya bongo movie sio uraisi. Mnakaa kujisifu lakini uchaguzi ukiisha mnakuja kutulilia humu jf. Kwa usalama wa mamvi ni bora akate ticket kabisa ya kukimbia nchi, lasivyo atamalizia maisha yake magereza.

Hahahhaa Lumumba bana vere interestingi wakishakaa wenyewe wanajifariijii

Utasikia

" nakuhakikishia mwenyekiti wangu ushindi ni razima" by jonh p magufuli hahahaha
 
Nachukia mfumo wa ccm pia majibu ya lowasa juu ya richmond hayaeleweki
 
Mpaka sasa tafiti za ndani na nje ya nchi zinamtaja Lowassa kama kinara wa uchaguzi huu. Na sijui Maccm mtatuambieje eti Lowassa ameshindwa uchaguzi. Lazima pachimbike!
 
Allivyouza nyumba za serikali kwa jamaa zake kwa bei ya kutupa ? Loss katika wizara ya ujenzi ? Bado tu unamwamini .You must be insane
 
Chama chako ndicho shule ya ufisadi Tanzania

- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!

Le Mutuz
 
- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!

Le Mutuz

katika list of shame ya slaa kuliku mafisadi papa 11, hadi sasa ni mmoja tu kaenda chadema, inamaana 10 bado wapo ccm. kwa uwiano wa 1/10 na kwa kauli ya slaa kwamba chadema imepakua choo nazani ulimi ulimteleza, alitakiwa aseme chadema imechukua ushuzi ila kinyesi chenyewe kimebaki hukohuko magamba.
 
- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!

Le Mutuz
Mnyika, Wenje, Mdee, Msigwa wote wamepewa majukumu mbalimbali katika kampeni za UKAWA na si lazima wafuatane na Lowassa. Si lazima mgombea afike kata zote 3200 kama unavyosema ili kushinda. Ujumbe umeshafika.
Mtapigwa butwaa mwaka huu maCCM.
 
Bonge hukui mbona hujawahi kuongea point we dogo vipi? kwanza kwanini baba yako aliamisha kiwanda cha pepsi toka dodoma na kufanya vijana wakose ajira?
 
Hilo halina ubishi mkuu, anasubiri kuapishwa tu.

Nawanao mtete Mr Pombe humu ndani wanajua rais ni lowasa,..sema ndo vile magamba ya humu ndani yanakufa na tai shingoni
 
Lowasa mwenyewe akisimama anaanguka kama kuku la kideli halafu ashinde uchaguzi gani kiazi kweli wewe hatuongozwi na fisadi.

Kuna watu Nigeria walisema Buhari hawezi kufanya kampeni sababu ya ugonjwa wake ataanguka jukwaani lkn yy ndo raisi wa Nigeria sasa...afya si kigezo sana
 
Mnyika, Wenje, Mdee, Msigwa wote wamepewa majukumu mbalimbali katika kampeni za UKAWA na si lazima wafuatane na Lowassa. Si lazima mgombea afike kata zote 3200 kama unavyosema ili kushinda. Ujumbe umeshafika.
Mtapigwa butwaa mwaka huu maCCM.

Usijisumbue kumjibu huyo kibonge hana impact...muulize baba yake mzee malechela alileta maendeleo gani ya maana kwa kipindi cha uongozi wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom