Namuona Magufuli ameshakubali kushindwa

Namuona Magufuli ameshakubali kushindwa

Lowassa labda atashinda kwenye mashindano ya bongo movie sio uraisi. Mnakaa kujisifu lakini uchaguzi ukiisha mnakuja kutulilia humu jf. Kwa usalama wa mamvi ni bora akate ticket kabisa ya kukimbia nchi, lasivyo atamalizia maisha yake magereza.

Mwaka huu wizi wa kura sahauni. Lazima CCM iondoke. Halafu Lowassa aende jela kwa kosa lipi?
Washindwe kumpeleka miaka yote hiyo ije iwe leo?
Richmond lilikuwa ni deal la M.K.W.E.R.E. akili zako na za Dr.Mihogo ni sawa sawa.
 
umemaliza yote mkuu.
viva lowasa
 
Hamna kipya ! Hawa magamba bwana..eti fisadi papa..fisadi papa,daa mpaka wana boa.
 
Mshaka yangu juu ya Lowasa ni kwamba, kwanini alikosa ujasiri wakukataa kusain mkataba wa richmond? kwa maana hiyo atakosa ujasiri wa kutetea maslah ya Taifa.

Pia. Vyanzo vyake vya mapato havipo wazi hii inamaana ni mkwepa kodi. Sifa ya kua rais bora ni kwamba usiwe mkwepa kodi, Kwa kigezo hicho Lowasa anapoteza sifa ya kua rais bora.

Pia Lowasa halihurumii taifa letu, Kwa sababu kama alilazimishwa kusain mkataba wa richmond basi angegoma na kujiuzuru kaba hakijasanuka. Sasa yeye alisain wakati anajua taifa linapata hasara, hii nayo inamkosesha sifs za kuwa rais bora.

Upande wa ccm hofu kubwa ipo ktk mfumo wao. Je Magufuli ataonesha ule ukaliwake kama akiwa raisi? mimi binafsi sijui.

Tukiwapambanisha Magufuli na Lowasa kila mtu ana mapungufu yake lakin tujaribu kuangalia nani anaridhisha zaidi? Ili upatejibu sahihi unatkiwa uvue shabiki wa vyama, Pili chambua kashfa za wagombea wote, tatu angalia hatari na faida ya kupewa urahisi kwa kila mgombea. Jibu litakalotoka katika moyo wako nadhani ndo jibu sahihi
 
Lowasa mwenyewe akisimama anaanguka kama kuku la kideli halafu ashinde uchaguzi gani kiazi kweli wewe hatuongozwi na fisadi.

Humjui ni nani ambae anaanguka anguka kwenye mikutano?
 
Hamna kipya ! Hawa magamba bwana..eti fisadi papa..fisadi papa,daa mpaka wana boa.

Wanampotezea muda bure wa kuanza kazi rais wetu Mheshimiwa sana E. Lowasa
 
Mafisadi mahakama ya mafisadi yaja makafungwe haraka.

Achaneni na ushabiki wakati hili jambo la mahakama ya mafisadi ni kitanzi kwa anayelitumia kuitafuta Palace.Kumbuka chama tawala ndio kimejaa watu hawa na endapo huyu mzee wa mahakama atapita atakutana na BUNGE TUKUFU lililojaa wapinzani wengi tofauti na vipindi vingine vya utawala.Sasa hawa wabunge wakiweka shinikizo kwake juu ya kuanzishwa kwa mahakama ya mafisadi kisha issues ikafanikiwa hamuoni kuwa atakuwa amejivisha kitanzi yeye na ndugu zake ambao wamo ndani ya serikali?Na ikiwa JK mwenyewe na uwezo wake wa kujilinda kwenye hoja na mashambulizi ya wapinzani bungeni amewahi kuvunja baraza la mawaziri mara kadhaa kwa shinikizo la wapinzani wachache.Hilo bunge lijalo ataliweza huyu mwenye hasira za sebuleni ambaye hajawahi hata kuongoza mtaa?Kwa kweli hapa Chama kilipoteza target lakini kwa sababu imeshatokea hakuna jinsi.Na hata kama mwenyekiti wa sasa akibaki kuwa mwenyekiti mamlaka ya bunge hawezi kuingilia kwa hiyo suala la maamuzi ya kukurupuka halitaweza kuepukika kamwe.Kwa kifupi huyu mtu hata apate matokeo ya ushindi bado hali ya chama haitakuwa shwari.Silazimishi mtu kukubaliana nami lakini tungoje tuone.
 
Mtoa hoja naona kama umefikia ukomo wako wa kufikiri...Akili ya Lowasa na ya kwako zinafanana...unaonekana wazi unamoyo wa kifisadi. TAR 25 OCTOBER Mtaisoma Namba
 
Mi naona lowassa amteue huyu failure aendelee na Barbara, akakariri kilomita za macalvati
 
Mtoa hoja naona kama umefikia ukomo wako wa kufikiri...Akili ya Lowasa na ya kwako zinafanana...unaonekana wazi unamoyo wa kifisadi. TAR 25 OCTOBER Mtaisoma Namba

maganba hamlali mtakoma mwaka huu
 
- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!

Le Mutuz
Magufuli hawezi kukwepa ufisadi wa uuzaji wa nyumba za serikali.
 
- Ili kushinda uchaguzi Lowasa anatakiwa aende Kata 3200 kwa siku 52 zilizobaki, ni ndoto ya mwendawazimu halafu kumbuka alipo ndipo ilipo Chadema nzima, halafu Mnyika yupo wapi mbona hajamtetea boss mpya? Magufuli sio size ya Lowasa ni kweli mmoja ni FAISADI na mwingine sio, amua mwenyewe ni nani hapo FISADI PAPA!

Le Mutuz

CCM ni kiwanda cha kuzalisha mafisadi. Hakuna asiye fisadi ktk CCM......
 
katika list of shame ya slaa kuliku mafisadi papa 11, hadi sasa ni mmoja tu kaenda chadema, inamaana 10 bado wapo ccm. kwa uwiano wa 1/10 na kwa kauli ya slaa kwamba chadema imepakua choo nazani ulimi ulimteleza, alitakiwa aseme chadema imechukua ushuzi ila kinyesi chenyewe kimebaki hukohuko magamba.

Hahahaaaaa aiseee nimecheka sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom