Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Unalitaka jina lake?

Nzunae nimekutafta mno uje ushuhudie ya Wii....love you much

Anapenda penda sana

hahahahaa tanesco walikata katikati ya utamu ile nalog in tu cm na umeme vikazima kwa pamoja lol
 
Wewe ni mmoja kati ya anawake wachache sana niliowatamkia hilo neno

Hebu jione mwenye furaha basi?

Mi namaanisha wala sitanii kabisaaaa!

Am happy to hear so

U know u ar my hero
My heart sing for u

Ila % zoote ni ngumu kukupa
Tunabakia na kale kamsemo
........Time will tell me........
 
Kwa kumaanisha nimewahi sema kwa mtu mmoja tu na sasa yuko na maisha yake, sijawahi kumwambia mtu mwingine tena labda nitasema tena kwa atakayekuwa mme wangu
 
Kwa kumaanisha nimewahi sema kwa mtu mmoja tu na sasa yuko na maisha yake, sijawahi kumwambia mtu mwingine tena labda nitasema tena kwa atakayekuwa mme wangu

Aisee ....!!
 
Asante
Ila mm ntakuambia siku utakapotimiza zile promise

Nadhan unajua what I mean baba paroko

Wala usijali ......

Mimi tena we jiamini tu

Si unajua sitanii!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom