Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Sisi tuliozaliwa miaka ile hatukuwa na ile neno kwenye kamusi zetu za mahusiano...!

Sijawahi kumwambia binadamu awaye yote chini ya Mbingu au aliyekwishatangulia mbele ya haki kuwa "I Love You"...!

Na pia sijawahi kutamkiwa binadamu awaye yote chini ya Mbingu au aliyekwishatangulia mbele ya haki kuwa "I Love You"...!

Na Nisingependa kuambiwa ile "Neno"...!
 
Mkuu ya kweli haya?

Eti babu Asprin ni kweli?

Ngoja niwaite Dark City na Mtambuzi waje hapa!
 
Last edited by a moderator:
Jamani bebi snowhite hebu njoo nataka nikunong'oneze kitu

Ila usije na yule mkorofi yule Ennie maana atakuja kutuchafulia hali ya hewa hapa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom