Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Hahaha hapana bana ujue hilo neno. Ni zito sana unatakiwa kulisema pale unapohisi unamapendo na kuwa na hisia haswaaa.

Inamaana hujawahi kuwa na hisia na kupenda?
 
Mtu wa kwanza kumtamkia kwa kumaanisha sijui hata yuko wapi. Nimezitamka mara nyingi tu na siku zote huwa namaanisha sema ndo vile tena....

kumbe unapenda mara nyingi nyingi eeeh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom