ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,378
- 8,624
Yule wa mwanzo namkumbuka na I love you yake ilikuwa ya ukweli but mazingira hayakuturusu.
Yupo, naishi mkoa mmoja hapa bongo, tunawasiliana kawaida sana ni kaka na dadake nowdays
Yupo, naishi mkoa mmoja hapa bongo, tunawasiliana kawaida sana ni kaka na dadake nowdays
Ila mwanzoni??
Vipi unamkumbuka yule wa kwanza?
Unakumbuka alipo?