Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Siku hizi akiamua mapepo yatoke yanambishia...."oyaaa,usituzingue na hizo kelele"

Kuna nini kati yako na mshiriki Khantwe

Hahahah wii unanivunja mbavu.....mapepo yanamwambiaje?
 
Last edited by a moderator:
Raha ilioje Fanya fasta nikale ugali n maharage ya bure
hat sitajitetea kwa maana naenda kwenye usalama nalinda bure
Do it men

Kam zis wei, girl. Hakikisha unakuja without tusipoteze muda kwenye kifungo.
 
Unajitoa akili eeeehhhh??

Nilimaanisha kabisaaa na nakushangaa unavyojidai hukujua ...!!!!!!!!!!

Hata kama sijamaanisha ila upendo unapata na unatosheka
Kipi muhimu maneno or matendo
 
Kwa hii sentensi naamini utakuwa umefuta kauli yako ya kutonipenda tena, na kuniogopa. naamini mapenzi yetu yatarudi kama zamani honey wangu mwenye faith kama ya Maria Magdalena.


Ona sasa...,!
 
Dada Yangu sasa Mimi tafungia wifi yako dani sn! Maana ikitoka nje huko nakua shida tu kila kona!

Ile kidonge ya zamani Asprin Taka Yeye, Eli79 Taka Yeye Na hii REALITY Naona Taka Yeye naile Paroko Naona Eiyer Naona Taka ambiwa Na mpnz wangu Khantwe kwamba inapendwa!

Ntafungia ndani wifi yako dada!

situmii vimeo
 
Last edited by a moderator:
Tena Huyu paroko hatareeee!

Anataka aambiwe anapendwa na huyo msemaji amaanishe hayo maneno!

Ngoja tumuite kwenye kikao jimboni!

Kumbeeee......

Sasa ngoja nifanye makalateee halafu uone!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom