Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,390
yes i meant it lolest
Moyo unanienda mbio
yes i meant it lolest
Dada babu kachanganyikiwa huyo!
Huoni maneno yanavyomtoka?!
Anataka kuhamishia mahaba kwa ndugu yetu mwallu
Kwa hii sentensi naamini utakuwa umefuta kauli yako ya kutonipenda tena, na kuniogopa. naamini mapenzi yetu yatarudi kama zamani honey wangu mwenye faith kama ya Maria Magdalena.
Vyote viwili ..!!
We ngoja tu..........!!
Loading error
love pause..
kisses rejected...
i love you corrupt..
lonely arise.inf
system confuse
tumboo installed
...loading...
WAOOOOOH!!!
bby yani nikikuona bluetooth ya malove inakuwa on full kutumiana maromance
Kama wapi vile?
Kwa sasa yuko Tanzania mji siufahamu
Baada ya yeye zilizokuja si za kweli Tan tan lila kibao
Hata hivyo madem wa kibongo we acha tuu
Mie mke wa mume wangu
Khaaaa ila moyo kiza kinene
Hata wewe humaanish mda woote
Ntajitahid kufanya hayo kutokana na wewe kiongozi wangu
Huyu babu huyu
Khaaaa ila moyo kiza kinene
Hata wewe humaanish mda woote
Ntajitahid kufanya hayo kutokana na wewe kiongozi wangu