mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,216
Aah wifii...unaongea nini sasa?
Nauuliza tu huu mchepuko wako
Aah wifii...unaongea nini sasa?
We haufall kwa mwallu
Nauuliza tu huu mchepuko wako
sema hakyanani..!
ngoja utaona..December haifiki, lol
Nina kesi na wewe
Kaa mbali na mm ntakuuuu....
Babu hivi ulishasikiaga wapi wazee wanakosea?
Kama hawakosei basi hako ka binti kamekosea!
Na wifi yangu taka yote....
Huogopwi kushindwa??? shauri zako.
Ntuzu, Nina miadi na mwallu, dadayo!!
Ha ha ha wewe kwangu cha mtoto babu
Sikuogopi ng'oooo