Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

siku hizi watu hawaambiani haya maneno. Wanazoeana tu then hisia hisia za mbali znajionyesa mwisho wa story wanajkuta wapenzi hata wao bila kujua

Ulishawahi kutamka mara ngapi?
Uliyemtamkia kwa mara ya kwanza yupo wapi?
 
Dah kuna MTU huyo yani ye in kila SAA ilikuwa I love u ukimuliza upo wapi atkujibu
Nipo home I love you,
Ukimwambia pitia basi hapo dukani nletee mafuta ya nywele utaskia
Haya beby I love you
Good9t basi tena utaskia
You too i love you
Khaaa kunchoshaga miye"!!!!!

Unakumbuka mtu wa kwanza kumuambia i love you?

Umeshasema hivyo mara ngapi?
 
na alerge nalo huwa nasemaga nakutamani sana na wananielewa previously i said so now ni nyumba ndogo
 
Mmmmmh sikumbuki hata ka nshawah kusema loh ngoja nianze
 
Mtu wa kwanza kumtamkia kwa kumaanisha sijui hata yuko wapi. Nimezitamka mara nyingi tu na siku zote huwa namaanisha sema ndo vile tena....
 
Mtu wa kwanza kumtamkia kwa kumaanisha sijui hata yuko wapi. Nimezitamka mara nyingi tu na siku zote huwa namaanisha sema ndo vile tena....

Ndio vile tena ........

Hebu niambie na mimi halafu umaanishe ....!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom