Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Huyu nkwela Anataka ajifichie kwenye a.k.a Kumbe Ndio kamaanisha!

hatulii huyu shemejio....sijui ana pepo? Kama vipi na mie naanza kuchepuka ,pengine kuna raha michepukoni....
 
hatulii huyu shemejio....sijui ana pepo? Kama vipi na mie naanza kuchepuka ,pengine kuna raha michepukoni....

Usichepuke dada Yangu shida yake arudishiwe Mahali yake!

Alafu angechepuka huko kwingine lkn kwa Mke wangu Khantwe

Yani hii case sijui ataiamua nani?
 
Last edited by a moderator:
Nicholas,

Ndugu yangu Umezungumza maneno mazito sana!..na kila kitu umekichambua kiutaalam na pia umeweza kuzama ndani ya mioyo ya watu wote - Waathirika na hao warithi wanaofaidika. Swala kubwa tu ambalo ningekuomba labda utufunulie ama kutupatia ufumbuzihapa...

Tuanzie wapi... wapi panatakiwa kweli serikali yetu iwekee mkazo zaidi kwa sababu mimi binafsi kinachonishinda kuelewa na hata kupata ufumbuzi ni kwamba haohao viongozi wetu - wanasiasa ndi haohao wasomi wetu wa uchumi na watoa maamuzi ya sehemu zote mbili. Siamini kabisa kwamba tuachie dunia iwe fundisho la utandawazi na dira ya maendeleo yetu. Lazima ipo njia ya kutupa hata mwanga wapi wananchi wanatakiwa waelekee! hata kwa jina kama waislaam wanavyoamini KIBLA ni MECCA.. kokote uliko maelekeo yako yatalenga malengo ya hilo neno Kibla.

Mwisho kuna kipengele umezungumzia kuwa wananchi bado hawapo tayari kuhimili mabadaliko ya kuleta usawa na haki. Ebu nipe dawa kidogo hapo maanake nimekwama.

Mrudishieni...nimechoka
 
Naanza Leo Leo......naanzia wapiii....siri yangu

Natumai unamkumbuka Housemate wangu bado...mkono wa serikali ni mpana sana mind you...be vere!!!

Namuita Ntuzu aje nyumbani Leo.....kuna kikao

I will be there...af vipi nikuje apo??!
 
Last edited by a moderator:
Mimi na Mentor ni wanafamilia pia tutakuja
We ukija njoo na bullet proof,uji wa moto proof,maji ya moto proof na kucha proof....
Natumai unamkumbuka Housemate wangu bado...mkono wa serikali ni mpana sana mind you...be vere!!!

I will be there...af vipi nikuje apo??!
Nimejiandaa ujue....wacha nami nionje...panakokimbiliwa pana mambo
 
Last edited by a moderator:
We ukija njoo na bullet proof,uji wa moto proof,maji ya moto proof na kucha proof....

Nimejiandaa ujue....wacha nami nionje...panakokimbiliwa pana mambo

Unapochimba kaburi la malipizi, chimba mawili.
 
We ukija njoo na bullet proof,uji wa moto proof,maji ya moto proof na kucha proof....

Nimejiandaa ujue....wacha nami nionje...panakokimbiliwa pana mambo

Nisipokuja mimi Ntuzu nae haji ujue...
 
Last edited by a moderator:
Kikao cha ndani cha familia....we hauhusiki

Sitishikiii......ule muda unachepuka nami nafanya yangu....na hakamatwi Mtu hapa...

Aiseee....kwa hiyo mimi mkimbizi. Ntuzu njoo utie neno hapa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom