venancehamza
Member
- Jun 8, 2025
- 40
- 68
- Thread starter
-
- #81
Kaka pamoja na hicho kitengo kuna ndgu zako wanauliza kama kuna nafasi huku.Kweli mtu chake! mkuu naona unajivunia kuwa mwajiliwa wa halmashauri ya jiji kitengo cha wazoa taka.
Point WENGI wanashoboka eti mtaani kwake mara domo la naseeb .Kwa hiyo mnaompinga jamaa mna maanisha hilo jukwaa alilopostia uzi wake lifutwe au ni ujuaji tuπ€
Mejii acha sifa ujue, πππNyigu.com una kataa nini, akati ka una kulaga mainiπ
Kwani sio kazi assume babako anafagia barabara dzm na anakusomesha MPAKA sasa unajiona big nopsbooKweli mtu chake! mkuu naona unajivunia kuwa mwajiliwa wa halmashauri ya jiji kitengo cha wazoa taka.
Acha kabisa kaka, nashangaa sana watu kubeza ilhali kila mtu ana njia yake ya kupata mwenza.Point WENGI wanashoboka eti mtaani kwake mara domo la naseeb .
Popote MTU ANAPATA chake mwacheni atafute humuhumu watoto wamo
Dah soon u smile tena, ngoja kukuche niku kukumbushe.Mejii acha sifa ujue, πππ
Kumbe humu wanawake tunachangamoto na hamjawah sema π€Hakika Mkuu Kinachotakiwa afanye uchunguzi kwa kina na kwa hekima akishajiridhisha aende nyumbani kwa wazazi /walezi wa huyo mwanamke akajitambulishe kwa heshima
Hakuna mwanamke asiyetaka kuolewa lakini inatakiwa huyu jamaa awe na commitment kama amemuona huko mtaani kwake achukuwe hayo maamuzi, aachane na hawa wa mtandaoni wengi wana changamoto nyingi sana. Hasa wanaojifanya washiriki sana wa mada na waandishi sana.
siwezi kuolewa mara mbili lakini pia siwezi kuolewa na broke guy hilo hata mabibi na mababu zangu watafufuka na kunitandika bakora,Mkuu nimepost, wewe ndo umekuja kureply, napokea ushauri wako but still unaniandama.
Shida nini?
Unataka kuolewa na una mtoto??
Nimependa jinsi ulivyorelax katika kujibu comment yangu yenye mlengo wa kukera, inaonyesha una uhimilivu wa kuishi na watu wenye tabia tofauti tofauti, nakutakia kila la kheri mwenyezi mungu akutimizie hitaji lako.Kaka pamoja na hicho kitengo kuna ndgu zako wanauliza kama kuna nafasi huku.
Hakika kimfaacho mtu chake mkuu
Mkuu wewe na mtani wangu cocastic kuna ajenda gani ya siri inaendelea kati yenu?.Dah soon u smile tena, ngoja kukuche niku kukumbushe.
Kuna kitu hakipo sawa kwako.siwezi kuolewa mara mbili lakini pia siwezi kuolewa na broke guy hilo hata mabibi na mababu zangu watafufuka na kunitandika bakora,
Endelea tu kuchakura utampata wa kufanana nawe
Nimesema Mitandaoni na sio humu Jamiiforums , na kuna dating site /dating app.Kumbe humu wanawake tunachangamoto na hamjawah sema π€
Nimesema Mitandaoni na sio humu Jamiiforums , na kuna dating site /dating app.
Waja mna maneno...sasa jamaa Kawa tena 'broke guy'?..siwezi kuolewa mara mbili lakini pia siwezi kuolewa na broke guy hilo hata mabibi na mababu zangu watafufuka na kunitandika bakora,
Endelea tu kuchakura utampata wa kufanana nawe
Achana nae huyo, she's guilty of what she's doing.Waja mna maneno...sasa jamaa Kawa tena 'broke guy'?..