venancehamza
Member
- Jun 8, 2025
- 37
- 63
hapo mtaani umekosa kabisa ambaye hana mtoto mkuu??Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ...
Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta.
Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno.
Kupata mwenza asie na mtoto anaejielewa ni ngumu mno mnooo.
Ni kama haiwezekani, kila unapogusa ni ana mtoto/watoto tena sometimes watoto wakubwa kabisa asiee wako sekondari.
Kama kuna mwanajf asie na mtoto tunaweza anza safari itakua njema zaidi.
Niko Dar es salaam
Ni muajiriwa.
Nina 30 yrs.
Nahitaji mwenza asie na mtoto.
Kwamba jamaa aende kanisani kimkakati ili akutane na wanawake walioenda kanisani kimkakati? 😂We jitahidi kuhudhuria kanisani kwenu, wapo wengi sanaa wao pia wanataka wachumba.
😅😅Yeye atafte tu position za kuonekana mbona atawakimbia Hawa viumbe.Kwamba jamaa aende kanisani kimkakati ili akutane na wanawake walioenda kanisani kimkakati? 😂
Asisahau kutoa sadaka zile za maonyesho hadi unaitwa na mchungaji kukupa mkono, muhimu sana hizi ili kuweka CV yake fresh😅😅Yeye atafte tu position za kuonekana mbona atawakimbia Hawa viumbe.
Anzia huko huko unakoishi.Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ...
Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta.
Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno.
Kupata mwenza asie na mtoto anaejielewa ni ngumu mno mnooo.
Ni kama haiwezekani, kila unapogusa ni ana mtoto/watoto tena sometimes watoto wakubwa kabisa asiee wako sekondari.
Kama kuna mwanajf asie na mtoto tunaweza anza safari itakua njema zaidi.
Niko Dar es salaam
Ni muajiriwa.
Nina 30 yrs.
Nahitaji mwenza asie na mtoto.
Mmh mkuu Yani miaka 30 unataka useme umekosa asiekua na mtoto?kwamba wote 19-25 tayari Wana watoto?emu kua serious kidogo au ndo Ivo hela huna wanakukataa kwa sababu hawaoni wanachopata kwako,njoo uku Tanga utaondoka na basi Zima kikubwa anauhakika wa kupata Milo 3 kwa siku ata kama asbh anakula vipande vyake vya mihogo vitatu.Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ...
Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta.
Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno.
Kupata mwenza asie na mtoto anaejielewa ni ngumu mno mnooo.
Ni kama haiwezekani, kila unapogusa ni ana mtoto/watoto tena sometimes watoto wakubwa kabisa asiee wako sekondari.
Kama kuna mwanajf asie na mtoto tunaweza anza safari itakua njema zaidi.
Niko Dar es salaam
Ni muajiriwa.
Nina 30 yrs.
Nahitaji mwenza asie na mtoto.
Atafute hata uongozi kwenye jumuiya ili awe anahudhuria makongamano mbalimbali.Asisahau kutoa sadaka zile za maonyesho hadi unaitwa na mchungaji kukupa mkono, muhimu sana hizi ili kuweka CV yake fresh
Mara nyingi mwanaume wa hivi ana low self esteem.Kwa hiyo mnaompinga jamaa mna maanisha hilo jukwaa alilopostia uzi wake lifutwa au ni ujuaji tu🤔
Tembea uone jinsi watu walivyo bize na kazi mpaka wanaishia kutafuta wenza kwenye social media na wanawapata, tatizo lenu ushamba🚮Mara nyingi mwanaume wa hivi ana low self esteem.
utanipinga lakini huu ndio ukweli, achana na huko kwenu Duniani.Tembea uone jinsi watu walivyo bize na kazi mpaka wanaishia kutafuta wenza kwenye social media na wanawapata, tatizo lenu ushamba🚮
Uonaongea ujinga waambie jf wafute hicho kipengele cha love connect kama una akili sanautanipinga lakini huu ndio ukweli, achana na huko kwenu Duniani.
Mtu kaajiriwa- huko makazini hamna wadada?
Nyumbani- Majirani hamna wadada.
Kijijini kwenu- hamna??
kwani profile hiyo imekaaje au CV ni mbovu kiasi gani.
Mwisho: Ukiona wadada hawana time na wewe ongeza juhudi ya kujitafuta. hao viumbe wanaangalia una nini mkononi.
Chukua fursa mejiiWaolewaji mnaitwa huku, kuna mdau wenu anawahitaji.
😂😂😂