Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

Matapeli hawaishi na wajinga pia hawaishi.
Jana wife kapigwa 760,000 kwenye laini za miamala na wale jamaa wanaoipigaga simu.
Yaani licha ya kumpa elimu yote huko nyuma kuwa asije akajaribu kuelekezwa kitu na akafanya kwenye simu za miamala bado alinasa tu.
Hv kalazwa yuko hospitali yaan hasara mara 2.
Damn Dunia ni chungu hii wakat mwingine
Duh...watu kidg wako nyuma ya kalenda....mpe pole..
 
Hatari mimi jamaa angu alikuta sony tv nch 55 akauziwa laki 5 mpaka leo ile tv haiwashi maana akiwasha tu lazima umeme wa 10000 uishe kwa siku na akati umeme wa 10000 anatumia siku sita
Duuuh!!!! Hii ni hatari kubwa na ½
 
Matapeli hawaishi na wajinga pia hawaishi.
Jana wife kapigwa 760,000 kwenye laini za miamala na wale jamaa wanaoipigaga simu.
Yaani licha ya kumpa elimu yote huko nyuma kuwa asije akajaribu kuelekezwa kitu na akafanya kwenye simu za miamala bado alinasa tu.
Hv kalazwa yuko hospitali yaan hasara mara 2.
Damn Dunia ni chungu hii wakat mwingine

Yaani kwa haraka haraka ulioa kilaza kwa mtazamo wa magufuli
 
Matapeli hawaishi na wajinga pia hawaishi.
Jana wife kapigwa 760,000 kwenye laini za miamala na wale jamaa wanaoipigaga simu.
Yaani licha ya kumpa elimu yote huko nyuma kuwa asije akajaribu kuelekezwa kitu na akafanya kwenye simu za miamala bado alinasa tu.
Hv kalazwa yuko hospitali yaan hasara mara 2.
Damn Dunia ni chungu hii wakat mwingine
Ooh jaman!!! poleni aisee
 
Best utapeli hauangalii hayo..haha wale wana akili mno mno! Sitaki kabisa yaani kutaman taman vitu hivyo!
Yes,Cha msingi usiwe mtu wa tamaa, Kuna jamaa yangu mtoto wa mjini aswaaa, anajenga nyumba na kuuza ndio issue zake uko mbweni ,now yupo Dom, basi ye pamoja na ujanja wake alipigwa mil.20 cash ,kiwanja Cha magumashi alipigwa.

Ivi naandika haya kashavuka maji yuko pemba kaenda kuua
 
🤣🤣🤣🤣 !nimecheka kama mazuri..dah..hivi huwa inawork eh? 2019 niliibiwa kalasha(crusher almost lote..wakaondoka ma golori zote na lidude fulani nimesahau jina lake...hahaa wapambe sasa..oh kamloge afe🤣🤣!nikawaambia sina imani hizo...hv kuna watu wanarogwa kufa na wanakufa??interesting
 
Kwenye minada ya namna hiyo, ikiwa ni lazima ununue…. basi unaweza kununua beseni tu au sufuria kwa uhakika kabisa.

Si vinginevyo.[emoji28][emoji28][emoji28]
Rafiki angu alivuta smart tv hatari sana....ina madude yote yafaayo...ila inahitaji sana moyo
 
Back
Top Bottom