Nafikiria kuhama Catholic

Nafikiria kuhama Catholic

l Sana mpaka hapa napoongea na wewe bado natamani kwenda kanisani but tangu wazungu wawaachie waswahili haya makanisa yamekuwa hovyo sn, msingi mkubwa ni sadaka.
Mkuu The best 007 naomba unifafanulie,hapo kwa walokole unaposali huwa hamtoi sadaka?ikiwa yes,utoaji wa hapo una utofauti gani na Catholic?

Kwamba ulipokuwa Catholic ulikuwa unashikwa shirt unalazimishwa kutoa ila hapo kwa walokole unatoa kwa hiari?elewa wazungu walipokata misaada inabidi waumini wachangie kupitia sadaka zao ili huduma zote zilizokuwa zinahudumiwa kwa misaada zipatikane Kanisani though hakuna muumini analazimishwa kutoa wala kuamuliwa atoe kiasi gani.
 
Hi,
Happy New Year.

Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.

Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.

Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango

👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.

👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.

HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.

Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING

NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.

Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
Mie 🇻🇪
 
Watu wamehama catholic karne na karne hata kabla babu yako hajajua kuvaa nguo.

Lakini bado wapo na wataendelea kuwepo.

WHO THE FU**K D U THINK U ARE?

Tatizo sio katoliki, tatizo ni sayari ya fikra zako
Baada ya kanisa Moja la kilokole lililokaribu na mleta mada Kununua vyombo vya muziki na kuanza kupiga nyimbo za Rose muhando kwa sauti ya juu, jamaa ameona bora ahamie kule awe Mzee wa kanisa.

Hii haijakaa vyema.

ngara23.
 
Ni kweli kanisani kuna masanamu na yanaabudiwa wala sio uongo.
Nimekusoma huko juu ukijiita Mkatoliki,kwa mstari huo wengi mnapotea kwa sababu hamjui mnachoenda kufanya Kanisani.

Uliambiwa uabudu sanamu na nani?zile ni ishara tu za kukazia imani ya muumini kwamba kulikuwa na kitu hiki na hiki na hiki mbona babu zetu wengine tumewajua kwenye picha unataka kusema ile picha nikiona sura ya babu yangu nisimuheshimu kwa sababu ni karatasi tu?sanamu haziabudiwi zinaheshimiwa (ni vitu viwili tofauti hivyo)
 
Katoliki ni kama Bunge.. Wabunge wako pale kuwakilisha majimbo yao na wananchi wake, same to Katoliki muwakilishi wako ni Jumuiya.
Kanisa likianza kum appreciate mtu mmoja mmoja na utoaji wake sadaka, Misa itaisha saa ngapi?
Padri anaposema salini ili sadaka yenu na yangu ikubaliwe na Mungu Baba Mwenyezi uwa umesinzia? Zile baraka hapo hazikutoshi mkuu?
 
Mm apa mmojawapo, nalipenda katoliki lkn linapoelekea sipo, huwezi amini nina zaidi ya miaka 7 sijaingia church na wala siwazi.
Kutokuwepo kwako Parokia uliyokuwa unasali unaona kuna tofauti yoyote mkuu?labda maendeleo yamesimama kwa sababu hawapati tena sadaka yako baada ya kuhama?

Obviously ni hapana,vitu vinaenda wewe uwepo au usiwepo kwa sababu ni kazi ya Mungu wataifanya waliowiwa.
 
Mimi ni katoliki na sijaenda kanisani miaka miwili Sasa,
Siku hizi Kuna ukiritimba mwingi sana haswa wa michango
Kinachokufanya usiende ibada ni kwa sababu ya michango au kuna kingine mkuu?hizi sababu zenu mbona nyembamba sana!

Ukienda wakati wa kutoa ukakaa tu kuna atakaekuja kukuamsha mbona huendi kutoa sadaka?au basi ukienda kutoa hiyo Tsh 1,000/= (kiwango cha wengi walichojipangia) kwa wiki mara moja unajiona kabisa ukipata hasara lakini kununua bundle,sabuni mafuta ya kujipendezesha hupati hasara?
 
Akitaka sifa aende Jumuiya 🤣
Ila Kanisani Padri akishasema salini ndugu ili sadaka yenu na yangu ikubaliwe na Mungu Baba Mwenyezi imeisha hiyo
Hakuna kanisa linasimamia haki kama katoliki..Hata Mimi nawaaadmire sana Wakatoliki,,mambo yao jinsi yalivyo sytematic ,ibada taratibu zao they're are very smart kwa kweli.
Ila kwa sababu anataka kuheshimiwa Kanisani na kutambuliwa kusifiwa na kuwa appreciated sana
Basi hizi ministry za watu binafsi itakuwa mahali sahihi kwake.
Aombe Mungu Sasa asipate makanjanja..
 
Kitu pekee nisichopenda Katoliki ni ile umefiwa/ umefariki na ukiwa sio mwana Jumuiya tena basiii, Padri hausiki kwenye mazishi yako.
Hapo tu ndio wamefanya ubaya.. maana watu wengine kila Jpl wako Kanisani, lkn Jmos yuko kazini inamfanya asifike wala kutambulika kwenyw Jumuiya.
Mungu aingilie kati, walegeze kamba hapo..
 
Katoliki ni kama Bunge.. Wabunge wako pale kuwakilisha majimbo yao na wananchi wake, same to Katoliki muwakilishi wako ni Jumuiya.
Kanisa likianza kum appreciate mtu mmoja mmoja na utoaji wake sadaka, Misa itaisha saa ngapi?
Padri anaposema salini ili sadaka yenu na yangu ikubaliwe na Mungu Baba Mwenyezi uwa umesinzia? Zile baraka hapo hazikutoshi mkuu?
Yeye anataka akitoa sadaka aitwe madhabahuni ili waamini wote wamjue yeye ndiye ametoa nyingi zaidi!

Shida kubwa sana hii Kanisa linaonekana limejaa lakini wengi hatujui tumeenda kusali au kujionyesha uwezo wetu.
 
Hi,
Happy New Year.

Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.

Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.

Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango

👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.

👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.

HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.

Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING

NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.

Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
Leo ndio unafahamu kuwa Catholic ni Taasisi ya kunyonya fedha za watu bila huruma? Umechelewa sana
Ikiwa huna chochote huthaminiki wallah, na hawapo kiroho hata siki moja

Proud to be Muslim
 
Back
Top Bottom