Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,059
- 79,413
Kwanini umri wake ni muhimu kupewa ushauri??
Nje ya mada, Mtibeli mbona nyumba yako ipo juu juu sana, huko ulipojenga kunajaa maji au ni ghorofa?? Ina malumalu kila pahala, kwanini??
Umri ni muhimu sana.
MTU ufikishe miaka 30 alafu hujui kwa nini upo dhehebu gani si dalili nzuri.