Serikali imdhibiti Mtume wao Mwamposa awe na Ratiba Maalum ya Ibada zake zinazoboa ili kuepusha Kero Kubwa ya Foleni Kawe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,038
Haiingii Akilini Ibada ya Kwanza ianze Saa 1 Asubuhi na inaisha Saa 10 Jioni na ya Pili inaanza Saa 11 na inaisha Saa 3 Usiku huku ikisababisha Kero Kubwa kwa Watu Kawe na njia zake.

Mbona Makanisa mengineyo yenye Waumini wenye Akili Kubwa duniani yakiongozwa na langu la Roman Catholic, Lutheran na Anglican yana Ratiba Maalum na wala huko hakuna Kero ya Umati wa Waumini Wazurururaji na Wasiojitambua kama wa Kanisa la Mtume Wao wa Tanganyika Packers Kawe?

Kama Mtume Wao ana Pesa nyingi zitokanazo na Michango ya Waumini Wasiojitambua ( Oya Oya Waumini ) kwanini asinunue Mabasi yake ili akimaliza Ibada zake za Uongo na Kweli ziwe zinawabeba Wanaopoteza muda Wao Kumuamini na Kuabudu Kwake?

Kwamfano Leo Saa 10 GENTAMYCINE nimeumia sana kuona Wabibi Watatu waishio Mbagala waliokosa Usafiri Kawe na kuamua Kutembea taratibu ( kwa shida ) hadi Chama ili kupanda Mabasi ya Mbagala na Kugeuka nayo.

Katika hali ya Kusikitisha Mmoja wa Bibi hao aliyepanda DalaDala ambalo kwa bahati nzuri GENTAMYCINE nilikuwemo nadhani kwa ama Kuchoka au labda alikuwa Anaumwa Bibi yule alianza Kujikojolea ndani ya Basi hali ambayo kiukweli ilimfedhehesha mno.

Kero nyingine Kubwa ya Waumini wa Mtume Wao Mwamposa ni kwamba wakiamua Kugeuka na Gari ambayo yanakuwa na Abiria ambao bado hawajamaliza Safari yao hadi Kawe huwa hawataki Kuwapisha Washuke hali ambayo huleta Ugomvi ndani ya Basi, Matusi huku Wengine akina GENTAMYCINE tukiwaomba watupishe tushuke wakikataa huamua kutumia Ubabe wa Kimusoma ( Mkoani Mara ) ambapo huamua Kutumia Nguvu, Mateke, Vichwa na Ngumi ndipo wanatupisha tushuke na Wengine wakiishia Kusonya huku wakiwa na Nundu Nyusoni mwao.

Kero Kuu ya mwisho ya Waumini wa Mtume Wao Mwamposa hii ni wakiwa Vituoni wanasubiri Usafiri ( DalaDala ) au hata wakiwa ndani ya DalaDala ni Kujamba hovyo tena bila hata ya aibu na kwa tabia yao ya Kupenda Kufakamia Mihogo, Viporo, Makande na Mayai ya Kuchemsha kiukweli hali huwa ni mbaya kwani Harufu huwa ni Kali na ya Kutukuka kabisa.

Mamlaka ( Serikali ) hivi ninavyoandika huu Uzi ( Saa 4 hii na dakika zake ) Mtume Wao Mwamposa ameshamaliza Ibada yake ya Pili ila kuna Umati mkubwa wa Watu ( hasa Abiria ) waliokosa Usafiri ( DalaDala ) hali inayopelekea baadhi yao kwakuwa wana Njaa na Sadaka zao Mtume Wao Mwamposa Kazikomba Mifukoni mwao sasa wamechukuliwa na Madereva Bajaji na Bodaboda wa Vituo vya kuanzia Maringo, Kwa Joseph, Kanisani na Ukwamani na kwenda Kulalwa Vichakani nyuma ya Eneo la Tanganyika Packers Kawe.

Kisha wapewe Nauli za Kurejea Makwao huku wakiwa ama Wameambukizwa tayari Ukimwi au Wao ndiyo Wamewaambukiza Ukimwi hao Wapemda Vitonga ( Bure ) hivyo Kufifisha juhudi za Serikali katika Vita ya Kupambana na Maambukii ya Virusi vya Ukimwi ( VVU )
 
apa mwisho umemaliza vibaya Ila Nina Imani nyuzi zako apostle anazipata vema. anakujua ulivo msaga kunguni wake
 
Kwanza tuanze kujadili na neno/jina "MWAMPOSA" lina maana gani?

Maana huu Utume na Unabii wa siku hizi unatafakarisha sana, ndio maana mwisho wa siku unakuta "Mchungaji anakula kondoo wa bwana" machungani!
 
Back
Top Bottom