Nahtaji waliosomea business administration or marketing, kufanya kazi katika taasisi, hapa Dar es salaam, uwe na umri wa miaka usiozidi 30, call 0749234577
Walinzi wanahtajika, mshahara kwa mwezi sh.180,000, vigezo , uwe na kitambulisho Cha Nida, picha Yako full, na majina ya watu wawili na namba zao watakao kudhamini, Dar es salaam, call 0749234577
Kwa watu walioko Mbeya,nahitaji mdada asiyezidi miaka 27 huku chunya. Kuna kazi ya hotelini..... Mshahara 150,000/= kulala na Chakula juu yangu. Posho zipo mara chache lakini
Anahitajika secretary mzoefu, aliyesomea kazi secretary duties, awe mjuzi wa computer 🖥️, shule ya English medium, mshahara sh.200000, location Dar es salaam
TANGAZO ANAHITAJIKA KIJINA WA CAR WASH AMBAYE MZOEFU WA KUTUMIA MASHINE 🥌YA KUOSHEA MAGARI🚗🚌🚚 NA AJUE KUOSHA MAGARI VIZURI ✅AWE MUAMINIFU
✅AWE ANAOFU YA MUNGU
LOCATION 📍GOBA NJIA 4 DAR ES SALAAMU MSHAHARA MAELEWANO NNA BOSS NICHEKI CHAP 0749234577
Tunaitaji secretary Aliye somea na mwenye✔️ experience ya kufanya kazi shuleni ✅Awe Anajuwa software na michoro Shule iko 📌 kimara 💰300k mshahara 🏃♀️nicheki chap kama unavigezo Call0749234577
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.