Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

0ED0E6FD-5B92-4411-91BC-33CDA3D38233.jpeg
 
Job vacancy at Golden Tulip Bububu Zanzibar 5 waiters.. anybody interested please it should be a walking interview tomorrow at Golden Tulip Zanzibar resort sharp by 10:00 am
Please no calls or sms.
 
HABARI ANAHITAJIKA CLINICAL OFFICER AWE WA KIUME MWENYE LESENI. MAWASILIANO 0766 868 307
 
Wanaitajika direct sales officer (dsa) wa mkombozi commercial bank 0659866539
 
Natafta dada wa kazi
Mwenye uzoefu wa kulea watoto na kazi za nyumbani

awe….Msafi,msikivu,mkweli,mwepesi kujifunza,mwenye upendo kwa watoto etc..

Umri:- miaka 20 kuendelea
Dini:- mkristo

Mshahara:-120,000
Eneo la kazi:-Mikocheni ,dar es salama
Mengineyo tutaongea kwa kirefu kwa namba hiyo👇🏿
:-0767861985
 
Back
Top Bottom