Jamanii naomba tupostie na za arusha tusaidie 🥲A nahtajika Mtaalamu wa Maabara Lab tec,💊 anicall 0749234577
kazi juu ya kazi 🙌🏾😂😂Nilichelewa kuiona hi thread, nmekuja kuona matangazo yalokuwepo yote yalikuwa Tyr deadline ya kuapply ishaisha, na yaliyopo yapo irrelevant na profession yangu, nikaamua kusubscribe ajabu hakuna matangazo tena🙌😃
Eenh...
Au kuwa jobless ndo kazi yenyewe, nyieee😄😄🚫
Mm hata nikionaga tangazo linalonihusu na na limekuwa deadline, Hua Naomba hvy hvy, watajua wnyw Huko😂😂Nilichelewa kuiona hi thread, nmekuja kuona matangazo yalokuwepo yote yalikuwa Tyr deadline ya kuapply ishaisha, na yaliyopo yapo irrelevant na profession yangu, nikaamua kusubscribe ajabu hakuna matangazo tena🙌😃
Eenh...
Au kuwa jobless ndo kazi yenyewe, nyieee😄😄🚫
😂😂😂Ngj nifanye hivyo sehemu mojaMm hata nikionaga tangazo linalonihusu na na limekuwa deadline, Hua Naomba hvy hvy, watajua wnyw Huko
Na fuata masharti yote walioweka kwenye kuomba hy kazi, usije ukasema kwakuwa imepitwa Na wakat hvy ngoja nitume kwa kubahatisha hvy nisiandae application zangu serious.😂😂😂Ngj nifanye hivyo sehemu moja