Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

D520D832-B091-49F2-90EA-3B4A270F016D.jpeg
 
Shule inatafuta mwalimu wa kujitolea shule ipo Mkoani dar es salaam wilaya ya kinondoni posho/mshahara na makazi utawasiliana na mkuu wa shule kupitia namba 0689 189 345

VIGEZO
Uwe una degree, diploma au certificate.
Uwe vizuri kwenye somo la hisabati hasa std 6 na 7.
Ukiwa mkazi wa dar es salaam itakuwa vizuri sana
 
Haya fursa hizo
 

Attachments

  • 1778705546564.jpg
    1778705546564.jpg
    97.1 KB · Views: 15
  • 1778705509950.jpg
    1778705509950.jpg
    98.5 KB · Views: 16
  • 1778705546564.jpg
    1778705546564.jpg
    97.1 KB · Views: 15
  • 1778705540149.jpg
    1778705540149.jpg
    97.1 KB · Views: 16
Habari za wakati huu.
Anahitajika
1.Mfamasia - kusimamia Pharmacy

2.Pharmaceutical technician "wakike"

NB
Wawe wana lessen.

Eneo la kazi Kibaha - Mlandizi

Mshahara
  • Mfamasia maelewano
  • Pharm Tech 500,000


Mawasiliano
+255 68 989 0485 SMS/Calls
+255 759 655 825 WhatsApp
 
Back
Top Bottom