Moise bruh fungua piemuFanya hivyo
Natafuta mtu mdada mdogo mdogo wa kumtuma tuma kazi ,,lakin pia kazi za salon, hata kama hana ujuzi atafundishwa mshahara n elf 10 kila siku
0693274611,, WhatsApp only
kazi yoyote ukiombwa pesa achana nayoHivi kuuliza sio ujinga ni kwa nini mtu awaamini nyie?
From no where tu mtu hana connection hajui location, hana exposure aje aanze kupiga namba mgeni, then aombe hela ya usaili au kushika nafasi?
Do y'all think watanzania ni wajinga hivi?
Kwamba ni kubali tu kuwa nafasi za kazi sehemu fulani then niingie mkenge kulipia without really meeting with the boss?