Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 53,964
- 131,411
Ila Kuna baby girl zina sura kama yangu, ahh hawa kweli n jobless wenzangu 😂Endelea kuotea! Umekaa chini kukagua members 1000+🤣
Anza kumtext mmoja mmoja mpaka unipate!
Ila Kuna baby girl zina sura kama yangu, ahh hawa kweli n jobless wenzangu 😂Endelea kuotea! Umekaa chini kukagua members 1000+🤣
Anza kumtext mmoja mmoja mpaka unipate!
Ebu tuone sura yako mkuuIla Kuna baby girl zina sura kama yangu, ahh hawa kweli n jobless wenzangu 😂
Yes niku tag tuone kama anachekeshaAkikujibu nitag😅
Mke wangu n ShesRise_1Pumbavu wewe🤣 unatukana mamba kabla hujavuka mto! Subiri utafute mke ndio utajua hujui😃
Jesus 😀😀Mm n kituko kuzidi wao 😎
Ukiniangalia kwa haraka haraka unaweza kudhani n msukule kumbe kweli n msukule 😎
Seran
Wewe mi si ndugu yako?Mke wangu n ShesRise_1
Ila c naona ukijiunga pale kunakuwa na notifications Kwamba namba fulani imejiunga, Sasa check waliojiunga siku mbili hizi hapo utakuta kuna namba inaishia na 13 ndo yangu.Endelea kuotea! Umekaa chini kukagua members 1000+🤣
Anza kumtext mmoja mmoja mpaka unipate!
C ulinikatalia kunitafutia mke, itabidi ww ndo uwe mke nimechoka upweke ðŸ˜Wewe mi si ndugu yako?
Astakafirilah 🙆Jesus 😀😀
Tatizo ume mkataa marry dianaC ulinikatalia kunitafutia mke, itabidi ww ndo uwe mm nimechoka upweke ðŸ˜
Unaoa kila kukicha una tabu wewe😂Mke wangu n ShesRise_1
Namba yako ninayo usijali na siingii kila mara huko😅Ila c naona ukijiunga pale kunakuwa na notifications Kwamba namba fulani imejiunga, Sasa check waliojiunga siku mbili hizi hapo utakuta kuna namba inaishia na 13 ndo yangu.
Ila hii ishu n ujinga kudadeki 😂
Huyo hapana aisee, mm n innocent boy bc atleast mke nae awe innocent.Tatizo ume mkataa marry diana
Kama Niliwah kusema nna mke mwngn zaidi ya ShesRise_1 bc tambua nilikuwa nmelewa 😎Unaoa kila kukicha una tabu wewe😂
Eh Namba yangu umeipata wap ww Kiboko mwepesi 😂Namba yako ninayo usijali na siingii kila mara huko😅