Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Na zile ambazo hazihitaji elimu ya chuo pia usisahau kutuwekea, mm siielewi h elimu yangu ya chuo naona nainifaidishi
 
Hello

Nahitaji sales wa kike 5 wenye uzoefu wa kuongea na wateja, wenye mwonekano eneo la kazi ni k/koo katika maduka ya vipodozi, malipo ni 300,000 kwa mwezi,

Tuma picha na jina lako kwa namba 0769516170
 
Bro jiongeze aisee, mbona maelezo yake yameeleweka, kama maelezo madogo kama hayo unashindwa kuelewa, utaelewa kazi kweli mkuu?
Na wanavyojua kufukuza watu pale atajua hajui🤣
 
Back
Top Bottom