Wanahitajika wakalimani wakichina 3
Aina ya kazi:Mgodini,uliopo
shinyanga
Mshahara,Basic:1,300,000/=(Excluding overtimes)
Incentive nyingine kama
Food+Accomodation utapatiwa ndani ya mgodi.
Vigezo
-Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja ktk kampun ya kichina.
-Cheti alichosomea hiyo course yakichina.
-Asiwe na historia ya uwizi au ubadhilifu wa mali za kampuni alizowai kufanya kazi.
Kwa maelezo zaidi nipigie
0769033085