BEZO JR
Platinum Member
- Jul 15, 2023
- 3,273
- 8,473
Huyu awe amesomea nini madam,I have one vacancy for refueling officer (storekeeper in fuel)
Awe anajua Excel vizuri
500-650 take home
Send CV to
mariam@crc.co.tz
Huyu awe amesomea nini madam,I have one vacancy for refueling officer (storekeeper in fuel)
Awe anajua Excel vizuri
500-650 take home
Send CV to
mariam@crc.co.tz
Ohh kumbe ni part time tu! Basi nikiwa naziona nakutag humu!Thankyou for your recognition Madam,sema yule jamaa angu ni pale zinapo tokea route za kusafirisha tu magari kwenda mikoani..maana tayari kwenye kampuni ya JAN INTERNATIONAL anayo ajira ya kudumu. So kusafirisha magari inakuwa tu part time.
Thankyou,Ohh kumbe ni part time tu! Basi nikiwa naziona nakutag humu!
Hizo kazi zinahitaji experience hasa kwenye masheli ya mafuta,hiyo ni issue ya stock taking ya visima vya mafuta so lazima uwe na knowledge na uzoefu cause hiyo kazi sio ya kukimbilia kama huna uzoefu nayo,utapigwa tukio na wazoefu ujute kwanini uliomba hiyo kazi.Huyu awe amesomea nini madam,
Hii Kaz niliwah fanya ni shidooooooHello
tunaajiri call center sales agent
vigezo:
1.namba ya nida
2.elimu kuanzia kidato cha nne, cheti na diploma
3.mwenye uzoefu na kazi za sales atapewa kipaumbele
nitumie cv kwa namba 0710384637
usipige tume cv tu
Mkuu hebu ifafanue kidogo hii kaziHii Kaz niliwah fanya ni shidoooooo
Kaz ya kupiga simu kutafuta wateja ni ngumu mno hasa ukiwa mwanaume ndo huaminik kabsaMkuu hebu ifafanue kidogo hii kazi