Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

🔥JOB VACANCY: CASHIER
Location: Dar es Salaam

Day Sparkle Consultancy is recruiting on behalf of a reputable restaurant client seeking detail-oriented and customer-focused Cashier.

If you're confident with numbers, have excellent cash handling skills, and thrive in a fast-paced hospitality environment, we'd like to hear from you.

Requirements:
• Strong numerical and calculation skills
• Hospitality or restaurant experience preferred
• Professional communication and customer service skills
• High level of accuracy and integrity

Ready for your next career move? Send your CV to jobs@daysparkle.co.tz

Deadline: 08 SEPT 2026

Only shortlisted candidates will be contacted.
 
💅🏽✨ AJIRA: MTAALAMU WA KUCHA NA KOPE DAR ✨👁️

Tunatafuta Mtaalamu wa Kucha na Kope mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi katika salon yetu.

💰 Mshahara: MAELEWANO

SIFA:
💅🏽 Awe anajua kutengeneza kucha vizuri
👁️ Awe anajua kuweka kope
✨ Ajue manicure & pedicure
✨ Ajue gel polish / nail extensions
🧼 Awe msafi na anayezingatia usafi wa vifaa
❤️ Awe mkarimu na anayejua kuhudumia wateja
⏰ Awe mwaminifu, mwenye nidhamu na anayejituma

📲 SMS & WhatsApp ONLY: +255679893209


Kama una ujuzi wa kucha na kope, karibu tuzungumze! 💅🏽✨
 
Ila kwa hii thread
Nitamwambia Melo akupe u platinum member kama Manyanza
Mkuu Maxence Melo
Hawa Members Seran na ShesRise_1 wanastahili badges za Platnum kabisa.

Huu uzi wa kazi mbalimbali ulioanzishwa na Seran unawapatia watu kazi na kuboresha maisha yao.
Vile vile nyuzi za ShesRise_1 zinagusa sana maisha ya watu wengi na huwa zinapata wachangiaji wengi pia.
Litazameni hilo Mkuu 🙏
 
Mkuu Maxence Melo
Hawa Members Seran na ShesRise_1 wanastahili badges za Platnum kabisa.

Huu uzi wa kazi mbalimbali ulioanzishwa na Seran unawapatia watu kazi na kuboresha maisha yao.
Vile vile nyuzi za ShesRise_1 zinagusa sana maisha ya watu wengi na huwa zinapata wachangiaji wengi pia.
Litazameni hilo Mkuu 🙏
Maxence Melo shkamoo Brother.
Tumekumiss sana jamani 😁

Naomba ombi langu juu ya Seran lifanyiwe kazi.
 
Back
Top Bottom