Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,648
- 11,931
Nitafutie naomba afu kumi nikauze mapupuMi mwenyew jobless😎
Hahahaha watanichangia wa kwanza ni huyu MoisemusajiografiiHebu kaanzishe uzi kule nikupigie debe mpaka wakupe😎
Umeshapata.Nimekuandalia na bandama kilo nne,miguu ya ng'ombe kumi na mbili na kongosho za kutosha.Nitakuwa mpuliza moto wako kwa muda wa miezi mitatu.Hahahaha watanichangia wa kwanza ni huyu Moisemusajiografii
Huyo tajiri hanaga mbambamba, sema nae tuokote kamtaji hapo!Hahahaha watanichangia wa kwanza ni huyu Moisemusajiografii
Unaniseti mkuu?Huyo tqjiri hanaga mbambamba, sema nae tuokote kamtaji hapo!
Ngoja nitamchek piemu 😂Huyo tqjiri hanaga mbambamba, sema nae tuokote kamtaji hapo!
Aseeh kwenye miguu umepiga enyewe moiseUmeshapata.Nimekuandalia na bandama kilo nne,miguu ya ng'ombe kumi na mbili na kongosho za kutosha.Nitakuwa mpuliza moto wako kwa muda wa miezi mitatu.