Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,813
- 235,967
Ukiendelea kuwa serious kama ilivyoanza mwanzo kipindi unajiunga, na kupunguza matani ya kijinga kidogoVigezo vya kupewa hicho cheo vipo
Utapata
Ukiendelea kuwa serious kama ilivyoanza mwanzo kipindi unajiunga, na kupunguza matani ya kijinga kidogoVigezo vya kupewa hicho cheo vipo
Nimemuona mtandaoni yupo Portugal huko. Mwombee Seran apunguze kuwa na majibu mabaya au muombee maana wewe ni Mtumishi 😄😄😄Maxence Melo shkamoo Brother.
Tumekumiss sana jamani 😁
Naomba ombi langu juu ya Seran lifanyiwe kazi.
Wewe unamuonaje kwanza😀Ivi kumbe Manyanza kapata u platnum
Kwangu mimi huyu ni best Upcoming memberNimemuona mtandaoni yupo Portugal huko. Mwombee Seran apunguze kuwa na majibu mabaya au muombee maana wewe ni Mtumishi 😄😄😄
Hajui nilishawahi mpaka kuwa Mod ? 🤣🤣😄Wewe unamuonaje kwanza😀
Kwanza joined 2010 anaionaje kwanza😁Hajui nilishawahi mpaka kuwa Mod ? 🤣🤣😄
Mnapishana sio 😂Wanaotafuta kazi ni wengiii ila ukitafuta mfanyakazi haupati 🤔
Maxence ni mjanja sana, pengine huyo Seran ana akaunti ingine halisiUkiendelea kuwa serious kama ilivyoanza mwanzo kipindi unajiunga, na kupunguza matani ya kijinga kidogo
Utapata
NAFASI ZA KAZI VETA ELIMU KUANZIA DIPLOMA ILI KUOMBA UNATAKIWA UWE UMEJIUNGA AJIRA PORTAL CHAGUA KAZI HUSIKA ANGALIA QUALIFICATIONS
KWA WATU WA FORM 4 NA FORM SIX PIA ZIPO KAMA UDEREVA ILA INAHUSU WALE WALIOSOMA FORM FOUR AU SIX WAKAENDA KUCHUKUA CERTIFICATE VETA YA UJUZI KAMA MAGARI BOMBA NK.
HIVO KAMA UMEJIUNGA AJIRA PORTAL CLICK LINK HII UTAOMBA MOJA KWA MOJA
KAMA BADO HUJAJIUNGA KARIBU INBOX
BY
MR KATOTO
0749011922
Yupo vizuri ni moja kati ya inspire wangu hapa JfWewe unamuonaje kwanza😀
Nathamini sana Mkuu. 🙏Yupo vizuri ni moja kati ya inspire wangu hapa Jf
Leo nitakoma 😆Maxence Melo shkamoo Brother.
Tumekumiss sana jamani 😁
Naomba ombi langu juu ya Seran lifanyiwe kazi.
Na hili mbuzi Mbaga JrKijana anayejua kutengeneza chipsi vizuri awe kigamboni au maeneo jirani anahitajika
Mshahara 250,000 hadi 350,000
Mawasiliano piga 0799529422
Seran mpigie simu mdogo wako Poor Brain, nafasi ya wazi kabisa hii 🤣