TANGAZO LA KAZI
MDADA WA KUUZA DUKA LA SUTI DODOMA
Mdada Mmoja anahitajika haraka kwa ajili ya kufanya kazi ya kuuza katika Duka la Suti, lililopo maeneo ya Shoppers, Dodoma.
Tunatafuta mdada mwenye sifa zifuatazo:
✅ Presentable & Good Looking
✅ Anayejitambua na mwenye Integrity
✅ Professional na mwenye heshima
✅ Mwenye Good Customer Care Skills
✅ Mchangamfu na mwenye uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja
✅ Mwenye umakini na anayezingatia majukumu ya kazi
✅ Awe anaelewa umuhimu wa usiri, heshima na professionalism, kwani duka linahudumia wateja mbalimbali, wakiwemo waheshimiwa.
Mshahara: 400,000-600,000
⚠️ NI DHARURA!
Anahitajika kuwa tayari kuanza kazi hata kesho.
Kama una sifa hizo, au una rafiki anayefaa, tafadhali mwambie awasiliane na huduma kwa wateja ajira na biashara
0799529422
[06/09, 21:33] COMPILER: YESHUA SCHOOL inatafuta walimu wenye uwezo, moyo wa kufundisha na kujituma kwa ajili ya kufundisha masomo yafuatayo:
- HISTORY
- ENGLISH
- KISWAHILI
ZINGATIA:
- Mwalimu anapaswa kuwa na uwezo wa kufundisha angalau masomo mawili kati ya hayo matatu.
Location: Temeke, Dar es Salaam
Deadline: 10 Septemba 2026
Mawasiliano: 0712 721 977