Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi: Chinese Translator

Location: Dar es salaam
Salary : 1M-1.5 M

Qualifications and requirements
  • Fluent in Chinese and English
  • Minimum 1 and above years of working experience with Chinese company, factory -industrial environment.
  • Experience in translation
  • Good communication, interpersonal and organizational skills.
SEND YOUR CV Email : Workk7698@gmail.com
 
📢ANAHITAJIKA DADA WA DUKANI KARIKOO, DSM

✅Awe na muonekano na uzoefu katika mauzo hasa dukani
✅Awe na Elimu kuanzia kidato cha nne
✅Umri usizidi miaka 30

Mshahara: Tsh 250,000

⚠️Fika moja kwa moja ofisi za ajira zilizopo Kigamboni Sido kuanzia saa tatu asubuhi, Ikiwa unakutana na changamoto unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kupitia namba zifuatazo: 0725 110 177 (muda wa kazi pekee) au 0799 529 422
 
TANGAZO LA KAZI - WALINZI

ENPRIZON COMPANY LIMITED
Inatangaza nafasi za kazi kwa WALINZI WANAUME

MAHALI PA KAZI:
Kilwa, Mkoa wa Lindi

MAJUKUMU:
1. Kulinda mali na watu wa kampuni masaa 24
2. Kufanya doria ndani na nje ya eneo la kazi
3. Kuandika ripoti za kila siku
4. Kudhibiti wageni wanaoingia na kutoka
5. Kuripoti matukio yoyote ya hatari mara moja

VIGEZO:
1. Awe na mafunzo ya Ulinzi na Vyeti vya Ulinzi - LAZIMA
2. Awe na afya nzuri na uwezo wa kimwili
3. Awe mkweli, mwadilifu na mwenye nidhamu
4. Awe na uzoefu wa miaka 2+ itakuwa ni faida
5. Awe tayari kufanya kazi kwa mabadilika - mchana na usiku
6. Awe tayari kuishi kambini

MSHAHARA:
TZS 300,000 / Mwezi + Malazi + Chakula.

JINSI YA KUOMBA:
Tuma CV yako, vyeti vya ulinzi, na picha ya passport kupitia WhatsApp:
0674 245 749

Muda wa mwisho wa maombi: [12/09/2026]
 
Data entry
Industry: production
Location : Dar es Salaam

  • Knowledge of Ms excel
  • Fresher
  • Female candidates are encouraged to apply

Salary : 350k- 400k

Share cv +255 612 901 761
 
NCAA VOLUNTEER OPPORTUNITIES 2026

Ngorongoro Conservation Area Authority - NCAA
Inatoa nafasi 36 za kujitolea kwa Wahitimu na Vijana wa Kitanzania.

Maelezo Msingi
  • Mahali pa kazi: Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro
  • Wanaostahili: Raia wa Tanzania, umri usizidi miaka 45
  • Mwisho wa kuomba: 15 Septemba 2026
  • Kumbuka: Ni kujitolea, sio ajira ya kudumu. Watumishi wa Serikali hawaruhusiwi

Nafasi Zilizopo 36
1. Assistant Supplies and Procurement Officer II - Nafasi 2
Sifa: Cheti au Stashahada ya Ununuzi, Logistics, Utawala wa Biashara

2. Planning Officer II - Nafasi 2
Sifa: Shahada ya Takwimu, Uchumi, Project Planning, Economic Planning

3. Public Relations Officer II - Nafasi 2
Sifa: Shahada ya Mawasiliano ya Umma, Uandishi wa Habari, PR

4. Tourism Officer II - Nafasi 2
Sifa: Shahada ya Usimamizi wa Utalii, Uongozaji Watalii, Wildlife Tourism

5. Marketing Officer II - Nafasi 3
Sifa: Shahada ya Masoko, Biashara, Ujasiriamali, Agricultural Economics

6. Assistant Community Development Officer II - Nafasi 10
Sifa: Stashahada ya Maendeleo ya Jamii, Sosholojia, Maendeleo ya Vijijini, Jinsia

7. ICT Officer - Nafasi 3
Sifa: Stashahada au Shahada ya IT, Computer Science, Software Engineering, Network, Database

8. Assistant Mechanical Technicians Water II - Nafasi 12
Sifa: Kidato cha IV + Cheti cha Trade Test II cha Plumbing, Pump Mechanical, Water Engineering

Nyaraka za Kuambatanisha
Nakala zilizothibitishwa za: Cheti cha Shahada/Stashahada, Cheti cha Kuzaliwa, Picha ya passport, na Majina ya Wadhamini 3 wenye mawasiliano.
Usambatanishe: Slip za Form IV/VI, Testimonials, na Transcripts zisizokamilika.

Jinsi ya Kuomba
Andika barua ya maombi yenye saini yako kwa Kiswahili au Kiingereza.
Tuma kwa: Conservation Commissioner, Ngorongoro Conservation Area Authority, S.L.P 01, Ngorongoro.
Au Email: cc@ncaa.go.tz
Andika wazi cheo unachoomba kwenye mada ya barua/email.

Muhimu
Maombi yafungwa tarehe 15/09/2026. Wapitao tu ndio watajibiwa kwa usaili. Hakikisha namba za simu ni sahihi.
 
SALES SPECIALIST

We are looking for a motivated and results-driven Sales Specialist to join our team.

Requirements:

  • At least 1 year of proven experience in sales.
  • Minimum qualification of a Diploma in Sales and Marketing or a related field.
  • Strong communication, negotiation, and customer relationship skills.
  • Self-motivated and able to meet sales targets.

How to Apply:
Interested candidates should send their CV to hr.lessotz@gmail.com.

Application Deadline: 10th Sept 2026

Only shortlisted candidates will be contacted.
 
🔥JOB VACANCY: CASHIER
Location: Dar es Salaam

Day Sparkle Consultancy is recruiting on behalf of a reputable restaurant client seeking detail-oriented and customer-focused Cashier.

If you're confident with numbers, have excellent cash handling skills, and thrive in a fast-paced hospitality environment, we'd like to hear from you.

Requirements:
• Strong numerical and calculation skills
• Hospitality or restaurant experience preferred
• Professional communication and customer service skills
• High level of accuracy and integrity

Ready for your next career move? Send your CV to jobs@daysparkle.co.tz

Deadline: 08 SEPT 2026

Only shortlisted candidates will be contacted.
 
Location: Kilimanjaro Region

Available Position:

Chemical Engineering (Female)

✅ Applicant Requirements
Must hold a Bachelor’s Degree in Chemical Engineering, or a Bachelor's in chemical and process engineering from a recognized institution.

Strong technical knowledge and ability to work in an industrial plant environment.

Commitment, discipline, and willingness to contribute to production efficiency.

📩 How to Apply
Interested candidates should send their CV via:

Email: fshoni@gmail.com

WhatsApp: 0717377980
 
Driver Vacancy

🚘 DRIVER– MIKOCHENI DAR ES SALAAM

We are looking for a reliable and experienced Driver with the following requirements:

  • 💰 Salary: TZS 350,000 per month
  • 📍 Location: Dar es Salaam
  • 🗣️ Able to communicate in English and Swahili
  • ✅ Good driving record
  • 🤝 Good attitude and professional conduct
  • 🧼 Good personal hygiene

📲 How to Apply: Send your CV via WhatsApp, together with a copy/photo of your valid driving licence, to 0674245749

⏰ Application Deadline: 15/09/2026 4:00 PM

Only shortlisted candidates will be contacted.

Cc: Tuff
 
Wanahitajika 2 FEMALE MD na 2 RN.
Kituo ni
istiqaama Health Centre magomeni.
Whatsapp 0658787373
 
WE ARE HIRING – SALES SPECIALIST
We are looking for a motivated and results-driven Sales Specialist to join our team.

Requirements:
  • At least 1 year of proven experience in sales.
  • Minimum qualification of a Diploma in Sales and Marketing or a related field.
  • Strong communication, negotiation, and customer relationship skills.
  • Self-motivated and able to meet sales targets.

How to Apply:
Interested candidates should send their CV to hr.lessotz@gmail.com.

Application Deadline: 10th Sept 2026

Only shortlisted candidates will be contacted.
 
Back
Top Bottom