Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 11,854
- 17,319
kataHivi ikwiriri ni wilaya?
kataHivi ikwiriri ni wilaya?
Ni kweli kabisa mkuu.Miezi kadhaa nyuma kuna uzi uliletwa ukitoa taarifa za kifo cha Mzee huyu huyu.
Mods ni kama waliupeleka kwenye settled list kama Muhindi anavyopeleka slips zilizo lost.
Kwa Kikwete haikufanya kaziNi kweli kabisa mkuu.
Nami nina uzoefu wa vumi za vifo vya namna hiyo ambazo baadaye hugeuka uhalisia!
Sielewi ni spirit gani ambaye huyazusha ya sirini yanayoenda kudhihirika punde!
Watu wengi wanaozushiwa vifo, siku zao za uhai huwa zishafika mwisho.
Nadhani ilizushwa na propagandist, usalama wa taifa ama wapambe ili kupima upepo wa raia.Kwa Kikwete haikufanya kazi
Moja kati ya waganga wa yangaNdo nani huyu
Apumzike kwa amani mzee wetu, alijua kutuchangamsha kwenye siasa za soka la simba na yangaUongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira ya saa 10:O0 Jioni katika Makaburi ya Msikiti mkubwa, Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani.
View attachment 3679521
View attachment 3679531
Halafu kweli. Ikwiriri imekuwa eneo la wasukuma. Kuna siku kulitokea ugomvi kati ya wenyeji na wasukuma. Nikashangaa wasukuma walitake over mji wa Ikwiriri. Mpaka Leo hakujawahi tokea Tena fujo.Ikwiriri ni wilaya nyie utopolo? Haya wafu mkazike mfu mwenzenu Ikwiriri ni yetu wasukuma
Yanga ni watani wangu. Nimemtania sana huyu mzee enzi za uhai wake.Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira ya saa 10:O0 Jioni katika Makaburi ya Msikiti mkubwa, Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani.
View attachment 3679521
View attachment 3679531
Yanga wametangaza kifo cha mwanachama wake...wewe hili la shabiki mwandamizi umelitoa wapi?Shabiki Mwandamizi wa klabu ya Yanga Mzee Mpili Afariki Dunia, Mzee Mpili Amefariki Dunia wakati akipatiwa Matibabu katika hospital ya ikwiriri huko Rufiji mkoani Pwani.
Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira ya saa 10:O0 Jioni katika Makaburi ya Msikiti mkubwa, Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani.